Richard Mwaikenda wa Kamanda wa Matukio Blog aachana na ukapera
Bibi harusi Mary Michael Mbaya (kushoto), akimvisha pete ya ndoa mume wake Richard Mwaikenda ambaye ni mpiga picha mkuu wa gazeti la Jambo Leo na mmiliki wa Kamanda wa Matukio Blog, baada ya kubariki ndoa yao katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kivule Dar es Salaam mchana huu.
Bwana harusi Richard Mwaikenda akiwa amepozi na mke wake Mary Michael Mbaya wakati wa ibada yao ya ndoa.
Mchungaji wa Kanisa hilo, Naory Chuma (kushoto), akiwabariki maharusi hao.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMPIGANAJI RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG AACHANA NA UKAPERA
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/dQZgH-n4K_o/default.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VDIAwcIROxo/UvRkbKTc_VI/AAAAAAAFLdU/tA93i9aFJXA/s72-c/unnamed+(3).jpg)
HONGERA KAMANDA MZINGA KWA KUTEULIWA KUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA LINDI
![](http://4.bp.blogspot.com/-VDIAwcIROxo/UvRkbKTc_VI/AAAAAAAFLdU/tA93i9aFJXA/s1600/unnamed+(3).jpg)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HfIXzVrPfI1Um9Y3AqfJ*RFcqYJ*4Xzc72D3y1-PKwihINwpSwVnAy9Vplp8R2ziPVn*cGRMFuNZcJ2KNnUuLRiAIyOliSjz/MrChuzi1.jpg?width=650)
MR. CHUZ AACHANA NA FILAMU
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MZEE KINGUNGE AACHANA NA CCM
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Jn6XP8bWc3I/VKf397x0NHI/AAAAAAACxEE/WjgjbzqSDUg/s72-c/msama.jpg)
MSAMA AACHANA NA ROSE MUHANDO.!
![](http://1.bp.blogspot.com/-Jn6XP8bWc3I/VKf397x0NHI/AAAAAAACxEE/WjgjbzqSDUg/s1600/msama.jpg)
5 years ago
CCM BlogMWANAHABARI MWAIKENDA USO KWA USO NA KATIBU MKUU KIONGOZI MSTAAFU LUHANJO KIJIJINI LAMWATI
Nilipita eneo hilo nikiwa katika harakati za kutafuta fursa za kilimo cha zao la Parachichi linalostawi vilivyo mkoani Njombe. Luhanjo ni miongoni mwa wakulima wazuri wa zao hilo.
10 years ago
Bongo517 Jan
Cristiano Ronaldo aachana na mpenzi wake Irina Shayk
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Amin auaga ukapera
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Amin Mwinyimkuu ‘Amini’, ameukacha ukapera kwa kufunga ndoa na msanii Farida Bashir ‘Namcy Vana’ aliyeimba wimbo ‘Kantangaze’. Ndoa hiyo ilifungwa Juni 22 nyumbani...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10