Cristiano Ronaldo aachana na mpenzi wake Irina Shayk
Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameachana na mpenzi wake raia wa Urusi, Irina Shayk. Wawili hao wamedumu kwa kipindi cha miaka mitano. “Tunathibitisha kuwa Irina Shayk amevunja uhusiano wake na Cristiano Ronaldo,” mwakilishi wake aliiambia Page Six jana. Tetesi za kuachana kwa mastaa hao zilianza kuvuma baada ya Shayk kutoonekana akiwa na Ronaldo kwenye […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo23 Dec
Dakika 1 na sekunde 58 za video ya Cristiano Ronaldo akionesha mjengo wake na sehemu anayoipenda …
Wachezaji soka wa Ulaya ni watu ambao wasiri sana katika maisha yao, kutokana na umaarufu wao mara nyingi wamekuwa wakifuatiliwa kwa kila kitu wanachokifanya, Cristiano Ronaldo staa wa timu ya taifa ya Ureno na klabu ya Real Madrid ya Hispania, December 22 kuekea sikuku ya Chrismass ameonesha mjengo wake kuanzia nje hadi ndani. Kama ulikuwa […]
The post Dakika 1 na sekunde 58 za video ya Cristiano Ronaldo akionesha mjengo wake na sehemu anayoipenda … appeared first on...
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Je Irina na Ronaldo wametengana?
10 years ago
Vijimambo07 Apr
Kibuti Kumbe Ronaldo ndiye alitoswa na Irina
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2674768/highRes/984525/-/maxw/600/-/u6dtxxz/-/pic+pluijm.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bsmQVYBkFPjGkbKe25gfBpNlUOO*VS1eMzVsRaiTSjDyWBY7qoCthQpG14tEziCudirpbOouHdg0f5A*UryIdadoM8FKgW8m/1409261957864_wps_1_epaselect_epa04372610_Por.jpg?width=650)
CRISTIANO RONALDO MCHEZAJI BORA ULAYA
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Cristiano Ronaldo atwaa tuzo ya BBC.
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Cristiano Ronaldo afikisha mabao 500
MADRID, HISPANIA
NYOTA wa timu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo, amefanikiwa kufikisha mabao 500 katika historia yake ya soka baada ya juzi kuifungia klabu yake mabao mawili katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Malmo.
Mabao hayo ya Ronaldo yametokana na kucheza michezo 753 katika klabu mbalimbali pamoja na timu yake ya taifa ya Ureno.
Hata hivyo, amekuwa ni mchezaji ambaye anaongoza kwa mabao mengi katika michuano ya Ligi ya Mabingwa, huku akiwa na jumla ya mabao 82, akimuacha...
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Sanamu ya Cristiano Ronaldo yazinduliwa, haifanani naye
Madeira is a pretty big Portuguese island that is known for two things: wine and Cristiano Ronaldo.
The Real Madrid superstar is the island’s greatest export (but if you can have wine and Ronaldo together, more power to you), and they honored him on Sunday by unveiling a statue of him. The only problem is that the statue looked nothing like him.
1.They got his free kick stance right! Kind of. It’s right based on the curve established by the rest of the statue.
2.Ronaldo has a very unique...
9 years ago
Bongo529 Sep
Hii ni trailer ya movie ya Cristiano Ronaldo inayotoka mwezi 11