Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kibuti Kumbe Ronaldo ndiye alitoswa na Irina

BAADA ya mshambuliaji mpya wa Yanga,Geofrey Mwashiuya kufanya mazoezi ya wiki moja na kikosi hicho, kocha Hans Pluijm amefunguka na kutamka ni mchezaji wa ukweli na atamchezesha winga ya kushoto.Lakini Mwashiuya akatoboa siri nzito kwa kusema, alikataa pesa za Simba, Azam zilizokuwa zinamwania hapo awali na kusaini Yanga kwa sababu alikuwa anaipenda tangu utotoni.Pluijm aliliambia Mwanaspoti: “Nimemwangalia mazoezini naweza kusema ni mchezaji mzuri ambaye ana kila kitu. Ni kijana mdogo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Je Irina na Ronaldo wametengana?

Kuna fununu kuwa Cristiano Ronaldo ametengana rasmi na mlimbwende muonesha vivazi Irina Shayk aliyekuwa mpenzi wake.

 

10 years ago

Bongo5

Cristiano Ronaldo aachana na mpenzi wake Irina Shayk

Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameachana na mpenzi wake raia wa Urusi, Irina Shayk. Wawili hao wamedumu kwa kipindi cha miaka mitano. “Tunathibitisha kuwa Irina Shayk amevunja uhusiano wake na Cristiano Ronaldo,” mwakilishi wake aliiambia Page Six jana. Tetesi za kuachana kwa mastaa hao zilianza kuvuma baada ya Shayk kutoonekana akiwa na Ronaldo kwenye […]

 

11 years ago

Bongo5

Chris Brown adai kuwa Karrueche Tran hakumpiga chini bali yeye ndiye amempiga kibuti, zifahamu sababu

Vyanzo vya karibu na mwimbaji Chris Brown vimeuambia mtandao wa TMZ kuwa Chris ameshangazwa na habari za hivi karibuni kuwa amepigwa chini na mpenzi wake wa On/Off Karrueche Tran, na kudai kuwa yeye (Chris) ndiye aliyempiga kibuti mrembo huyo. Vyanzo hivyo vimesema kuwa Breezy amemuacha Karrueche baada ya kugundua alikuwa anawasiliana na kuwatumia picha wanaume […]

 

10 years ago

GPL

KUMBE ASKARI MAGEREZA NDIYE ALIYETOA MAFUNZO

Na Makongoro  OGING’ Kuna taarifa kwamba kumbe askari magereza mstaafu wa Gereza la Dondwe,Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani (jina linahifadhiwa) anadaiwa kuhusika katika zoezi nzima la utoaji wa mafunzo ya kijeshi kwa watu waliovamia Kituo cha Polisi Stakishari jijini Dar es Salaam Julai 12,mwaka huu.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Dpfvs8 ...

 

11 years ago

GPL

KUMBE NAY WA MITEGO NDIYE ALIYEUNJA NDOA YA SKAINA!

Stori: Musa Mateja na Shakoor Jongo
SASA hakuna ubishi kuwa, ile ndoa iliyofungwa kwa mbwembwe na kuvunjika kabla ya mwezi mmoja kati ya msanii wa filamu za Kibongo, Skyner Ally ‘Skaina’ na Saad Omar, chanzo ni Mwanabongo Fleva, Emmanuel Eribaliki ‘Nay wa Mitego’. Nay wa Mitego 'True Boy'. Habari za awali zilisema kuwa, ndoa ya Skaina iliingia mdudu baada ya mumewe kugundua kuwa alinunua ‘mbuzi...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ronaldo Ajigamba ndiye mchezaji bora

Mimi ndiye mchezaji bora ulimwenguni, amejigamba Cristiano Ronaldo. Mreno huyo mwenye miaka 30 ambaye ni mshindi mara tatu wa mchezaji bora wa dunia

 

10 years ago

BBCSwahili

Facebook:Ronaldo ndiye binadamu maarufu

Mchezaji nyota wa Real Madrid ya uhispania na Ureno christiano Ronaldo ndiye binadamu maarufu zaidi kwenye Facebook.

 

9 years ago

Bongo5

Mimi ndiye mchezaji bora wa soka duniani — Ronaldo

cristiano-ronaldo-553153

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amedai kuwa yeye ndiye mchezaji bora ulimwenguni.

cristiano-ronaldo-553153

Mchezaji huyo raia wa Ureno, 30, ambaye ni mshindi mara tatu wa mchezaji bora wa dunia na mfungaji bora wa Real Madrid ameiambia BBC.

“Sihitaji kusema, niko katika historia ya mpira, mimi ni legend. Namba zinasema kila kitu,” alisema.

Ronaldo ambaye alijiunga Real akitokea Manchester United mwaka 2009 kwa kitita cha auni milioni 80 amesema amefikia kiwango kiwango cha kushangaza kwa kipindi cha...

 

10 years ago

GPL

KADJA NITO APIGWA KIBUTI

Musa mateja
STAA aliyetikisa kwenye Bongo Fleva na single ya Maumivu Niache, Khadija Maige ‘Kadja Nito’,  ameweka wazi kuwa yupo huru baada ya kuachika na aliyekuwa mpenzi wake, hivyo nafasi ya mwenza mpya inakaribishwa ila vigezo na masharti vitazingatiwa. Staa aliyetikisa kwenye Bongo Fleva na single ya Maumivu Niache, Khadija Maige ‘Kadja Nito’. Akizungumza na paparazi wetu hivi karibuni, Kadja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani