Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Facebook:Ronaldo ndiye binadamu maarufu

Mchezaji nyota wa Real Madrid ya uhispania na Ureno christiano Ronaldo ndiye binadamu maarufu zaidi kwenye Facebook.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Ronaldo Ajigamba ndiye mchezaji bora

Mimi ndiye mchezaji bora ulimwenguni, amejigamba Cristiano Ronaldo. Mreno huyo mwenye miaka 30 ambaye ni mshindi mara tatu wa mchezaji bora wa dunia

 

10 years ago

BBCSwahili

Ronaldo mbele kwa ufuasi Facebook

Ronaldo ametajwa kwa mchezaji wa kwanza kufikisha wafuasi milioni miamoja kwenye mtendano wa kijamii wa Facebook.

 

10 years ago

Vijimambo

Kibuti Kumbe Ronaldo ndiye alitoswa na Irina

BAADA ya mshambuliaji mpya wa Yanga,Geofrey Mwashiuya kufanya mazoezi ya wiki moja na kikosi hicho, kocha Hans Pluijm amefunguka na kutamka ni mchezaji wa ukweli na atamchezesha winga ya kushoto.Lakini Mwashiuya akatoboa siri nzito kwa kusema, alikataa pesa za Simba, Azam zilizokuwa zinamwania hapo awali na kusaini Yanga kwa sababu alikuwa anaipenda tangu utotoni.Pluijm aliliambia Mwanaspoti: “Nimemwangalia mazoezini naweza kusema ni mchezaji mzuri ambaye ana kila kitu. Ni kijana mdogo...

 

9 years ago

Bongo5

Mimi ndiye mchezaji bora wa soka duniani — Ronaldo

cristiano-ronaldo-553153

Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo amedai kuwa yeye ndiye mchezaji bora ulimwenguni.

cristiano-ronaldo-553153

Mchezaji huyo raia wa Ureno, 30, ambaye ni mshindi mara tatu wa mchezaji bora wa dunia na mfungaji bora wa Real Madrid ameiambia BBC.

“Sihitaji kusema, niko katika historia ya mpira, mimi ni legend. Namba zinasema kila kitu,” alisema.

Ronaldo ambaye alijiunga Real akitokea Manchester United mwaka 2009 kwa kitita cha auni milioni 80 amesema amefikia kiwango kiwango cha kushangaza kwa kipindi cha...

 

10 years ago

Bongo5

Shaa asema amefanya Collabo na Redsan baada ya kugundua ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya, AY ndiye aliyewaunganisha

Baada ya kuachia video mpya ‘Njoo’ iliyoongozwa na director Enos Olik, Shaa amezungumzia mambo kadhaa kuhusu collabo hiyo mpya na star mkubwa wa Kenya, Redsan ikiwemo sababu za kumchagua kumshirikisha pamoja na mtu aliyemsaidia kumpata Redsan kiurahisi na kufanya nae kazi. Shaa amesema baada ya kufanya utafiti aligundua Redsan ndiye msanii anayeheshimika zaidi Kenya ambaye […]

 

10 years ago

Bongo5

Facebook kuja na mtandao mpya ‘Facebook at Work’

Facebook inaanzisha mtandao wa kijamii kwaajili ya wafanyakazi kuwasiliana na kushirikiana kuhusiana na masuala ya kazi. Facebook at Work utaonekana vile vile kama Facebook ya kawaida, lakini watumiaji watakuwa na uwezo wa kutengenesha akaunti zao binafsi. Watumiaji watakuwa na uwezo wa kuchat na wenzao, kutengeneza mtandao wa kazi na kushare nyaraka mbalimbali. Mtandao huo ambao […]

 

9 years ago

Dewji Blog

Tume ya Haki za Binadamu na DIGNITY wafanya semina juu elimu kuhusu haki za binadamu!!

DSC_1095

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akielezea mambo mbalimbali katika semina hiyo. kulia kwake ni afisa kutoka DIGNITY, Bi. Brenda Van Den Bergh. (Picha zote na Mpiga picha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora).

Na Rabi Hume,Modewjiblog

Tume ya haki za binadamu na utawala bora ikishirikiana na Taasisi ya haki za binadamu kutoka Denmark (DIGNITY) wamefanya semina inayohusu haki za binadamu   kwa kutoa elimu kwa asasi mbalimbali kuhusu...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA HAKI ZA BINADAMU YAADHIMISHA SIKU YA HAKI ZA BINADAMU AFRIKA JIJINI ARUSHA

Wanafunzi wa Shule ya Msingi Mariado na walimu iliyopo Usa River ,wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha wakiwa katika picha ya pamoja waliposhiriki maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu barani Afrika katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu iliyofanyika Oktoba 21 na kudai haki za wenye ulemavu wa ngozi(Ualibino) kulindwa kama wananchi wengine
Mwanafunzi Kelvin wa shule ya Mariado akiimba wimbo Umoja wa Afrika(AU)ambao ni maalumu wakati wa shughuli za umoja huo zinapofanyika.
Kamishna wa Tume...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani