Hii ni trailer ya movie ya Cristiano Ronaldo inayotoka mwezi 11
Mchezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo anatarajia kutoa movie yake November 9 mwaka huu aliyofanya na kampuni ya Universal Studios. Movie hii imeandaliwa kwa miezi 14 na itakuwa na video mbalimbali ambazo hazijawahi kuonekana. Kwenye movie hiyo wamehusishwa mama yake Ronaldo, mwanae na marafiki zake. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
5 years ago
Africanjam.Com![](https://2.bp.blogspot.com/-NZBIjQk5MkU/WFVITK-g9tI/AAAAAAAAF7M/eiKyQDS3d0oCw1qAyNEoitTiXpj8vPqQgCLcB/s72-c/africanjam.jpg)
MOVIE TRAILER: FAST & FURIOUS 8 "FATE OF THE FURIOUS" | Official Trailer 2017 |
![](https://2.bp.blogspot.com/-NZBIjQk5MkU/WFVITK-g9tI/AAAAAAAAF7M/eiKyQDS3d0oCw1qAyNEoitTiXpj8vPqQgCLcB/s640/africanjam.jpg)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bsmQVYBkFPjGkbKe25gfBpNlUOO*VS1eMzVsRaiTSjDyWBY7qoCthQpG14tEziCudirpbOouHdg0f5A*UryIdadoM8FKgW8m/1409261957864_wps_1_epaselect_epa04372610_Por.jpg?width=650)
CRISTIANO RONALDO MCHEZAJI BORA ULAYA
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Cristiano Ronaldo atwaa tuzo ya BBC.
9 years ago
Mtanzania02 Oct
Cristiano Ronaldo afikisha mabao 500
MADRID, HISPANIA
NYOTA wa timu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo, amefanikiwa kufikisha mabao 500 katika historia yake ya soka baada ya juzi kuifungia klabu yake mabao mawili katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Malmo.
Mabao hayo ya Ronaldo yametokana na kucheza michezo 753 katika klabu mbalimbali pamoja na timu yake ya taifa ya Ureno.
Hata hivyo, amekuwa ni mchezaji ambaye anaongoza kwa mabao mengi katika michuano ya Ligi ya Mabingwa, huku akiwa na jumla ya mabao 82, akimuacha...
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Sanamu ya Cristiano Ronaldo yazinduliwa, haifanani naye
Madeira is a pretty big Portuguese island that is known for two things: wine and Cristiano Ronaldo.
The Real Madrid superstar is the island’s greatest export (but if you can have wine and Ronaldo together, more power to you), and they honored him on Sunday by unveiling a statue of him. The only problem is that the statue looked nothing like him.
1.They got his free kick stance right! Kind of. It’s right based on the curve established by the rest of the statue.
2.Ronaldo has a very unique...
9 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-qCVaH4k8_30/Vn2JYQ_9AgI/AAAAAAAAEVY/lTsdjp0_Fjc/s72-c/2F941FAB00000578-0-image-a-2_1450863898981.jpg)
CRISTIANO RONALDO AWARDED NO.7 BASKETBALL JERSEY BY MIAMI HEAT
![](http://3.bp.blogspot.com/-qCVaH4k8_30/Vn2JYQ_9AgI/AAAAAAAAEVY/lTsdjp0_Fjc/s1600/2F941FAB00000578-0-image-a-2_1450863898981.jpg)
Cristiano Ronaldo has taken advantage of Real Madrid's Christmas break by jetting over to Miami to relax ahead of the club's next match on December 30.The 30-year-old attended the Miami Heat's narrow 93-92 defeat by the Detroit Pistons on Tuesday night and he was given a warm welcome by the Eastern Conference franchise.
Miami Heat gave the Real Madrid superstar a basketball jersey with his name and favourite number on the back.
![](http://3.bp.blogspot.com/-mysDXMjhyRQ/Vn2J-2WtHlI/AAAAAAAAEVg/8dJ9Nb93_Ao/s1600/2F941F9A00000578-0-image-a-6_1450864345851.jpg)
10 years ago
Mwananchi16 Feb
Miaka 30: Cristiano Ronaldo na hatima yake katika soka