Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSAMA AACHANA NA ROSE MUHANDO.!


HATIMAYE Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam, Alex Msama, ameibuka na kutamka yeye si Meneja wa malkia wa nyimbo za injili nchini, Rose Muhando akisema amekuwa akishirikiana naye katika mazingira ya kawaida kama ilivyo kwa waimbaji wengine.Kwa mujibu wa taarifa ya Msama kwa vyombo vya habari jana, yeye akiwa mlezi wa waimbaji wote wa muziki wa Injili, amekuwa akishirikana nao kwa karibu kutokana na nafasi yake katika huduma hiyo ya uimbaji kwa kipindi cha miaka...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Msama yamwaga udhamini uzinduzi wa Rose Muhando

KAMPUNI ya Msama Promotions imejitosa kudhamini uzinduzi wa albamu ya ‘Kamata Pindo la Yesu’ ya mwimbaji Rose Muhando. Uzinduzi wa albamu hiyo utafanyika Agosti 3 katika ukumbi wa Diamond Jubilee,...

 

10 years ago

GPL

MSAMA ANAWA MIKONO KWA ROSE MUHANDO

BRIGHTON MASALU “HAWA mastaa hawa bwana! Wana matatizo sana, hivi inakuwaje mtu unamsaidia kwa mambo mengi, halafu badala ya kukushukuru anaamua kukulipa maneno makali? Yaani msaada wangu wote kwa Rose (Muhando), matokeo yake anatukana ukristo!” Ndivyo anavyoanza kueleza kwa sauti iliyojaa uchungu, meneja wa mwimbaji wa nyimbo za Injili, Rose Muhando, Alex Msama. ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1hpoH6b ...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AWEWESEKA

Mwimbaji nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando. MWIMBAJI nyota wa muziki wa Injili nchini, Rose Muhando ambaye hivi karibuni alikanwa na aliyewahi kuwa meneja wake wa muda mrefu, Alex Msama, anadaiwa kuweweseka asijue la kufanya kufuatia hatua hiyo. Akizungumza kutoka Dodoma yalipo makazi ya mwimbaji huyo, mmoja wa watu wake wa karibu aliyeomba hifadhi ya jina lake, alisema hatua ya Msama kutangaza kutofanya naye kazi,...

 

11 years ago

GPL

ROSE MUHANDO MBARONI!

Stori: Mwandishi Wetu
STAA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando yamemkuta ya kumkuta ambapo Ijumaa iliyopita alishikiliwa na Polisi wa Kituo cha Msimbazi jijini Dar es Salaam kwa madai ya kuingia mitini na shilingi milioni 6 alizolipwa kwa ajili ya kwenda kufanya shoo ya kiroho, Mombasa, Kenya Novemba 3, 2013 lakini hakutokea. Rose Muhando. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Rose alidakwa jijini Dar es Salaam saa sita mchana huku...

 

9 years ago

Habarileo

Rose Muhando matatani

MUIMBAJI maarufu hapa nchini wa nyimbo za Injili, Rose Muhando anatafutwa na waandaaji wa tamasha la Injili wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa madai ya kutoonekana kutumbuiza kama jinsi walivyokubaliana.

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO MGONJWA

Stori: Gladness Mallya
TUMUOMBEE! Hali ya kiafya ya staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando siyo nzuri na amewaomba Watanzania wamuombee kwani ni mgonjwa. Staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando. Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum katikati ya wiki hii, Rose ambaye ameripotiwa kwa misala tofauti ya kuchikichia fedha za shoo hivi karibuni, amefunguka kuwa afya yake si nzuri kwani anasumbuliwa na mshipa...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AMWAGA MACHOZI

Brighton Masalu
ROSE Muhando, aliye mwimbaji Injili Bongo, amejikuta akimwaga machozi yaliyojaa uchungu huku akitumia kama dakika 45 kuelezea wazi mateso na manyanyaso ambayo anayapitia kwa sasa ikiwemo kuhusishwa na tuhuma za utapeli na ‘kubwia unga’, Risasi Jumamosi linakupa stori kamili! Mwimbaji Injili Bongo, Rose Muhando. ILIKUAJE?
Mwandishi wetu alimtafuta mwimbaji huyo juzi kwa njia ya simu kutoka mkoani...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO AMKIMBIA MENEJA

Shani Ramadhani NYOTA wa nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando anadaiwa kumkimbia meneja wake, Alex Msama licha ya kuwepo kwa makubaliano kati yao yaliyohusu kulipiwa deni la kiasi cha shilingi milioni sita alizokuwa akidaiwa msanii huyo mwenye jina kubwa ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1f2ceDX

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sekeleti kumbeba Rose Muhando

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa injili, Ephraim Sekeleti, atatumbuiza katika uzinduzi wa albamu ya ‘Kamata Pindo la Yesu’ ya Rose Muhando utakaofanyika Agosti 3, Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani