Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHEREHE ZA NANE NANE KANDA YA KATI KUFANYIKA VIWANJA VYA NZUGUNI MKOANI DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akiwasilisha taarifa ya
maandalizi ya sherehe za Nane Nane Kanda ya Kati zitakazo fanyikasambamba na Maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji Kitaifa kuanzia AgostiMosi Mkoani Dodoma.

Sherehe za Nane Nane Kanda ya Kati zitafanyika sanjari na Maonesho na mashindano maalum ya mifugo ya 5 Kitaifa  katika  uwanja wa Nzuguni Dodoma kuanzia tarehe 01/08 hadi 08/08/2015.




Sherehe za Nane Nane mwaka huu 2015 zinakwenda kwa Kaulimbiu inayosema “Matokeo Makubwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu kiongozi katika maonyesho ya Nane nane kanda ya kati Dodoma

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisalimiana na wafanyakazi waliopo katika maonyesho ya Nane nane katika Jengo la maonyesho la Ofisi ya Rais maeneo ya Nzuguni Dodoma ambapo maonyesho haya yameadhimishwa kwa kushirikisha mikoa ya kanda ya kati.Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiangalia baadhi ya Bidhaa zinazotengenezwa na badhi ya wajasiriamali wanaonufaika na mfuko wa maendeleo ya jamii-TASAF (Tanzania Social Action Fund) ndani ya Jengo lamaonyesho la Ofisi ya Rais Nzuguni...

 

11 years ago

Michuzi

VETA KATIKA MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE VIWANJA VYA NGONGO MKOANI LINDI

Wafanyakazi na wanafunzi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA kutoka vyuo mbalimbali nchini wapo katika maonesho ya wakulima nane nane yanayofanyika Kitaifa Mkoani Lindi katika viwanja vya maonesho Ngongo kilometya 17 kutoka Lindi mjini. VETA wamesheni vitu mbalimbali na mafunzo kwa wakulima na teknolojia za kisasa. Pia kuna mgahawa wa kisasa upo kibandani kwao na unatoa huduma zote za hoteli kuanzaia chakula na vinywaji vyote. SOURCE: FATHER KIDEVU BLOG Mwanafunzi wa Uashi wa VETA,...

 

10 years ago

Michuzi

SSRA katika maonesho ya Sherehe ya wakulima (NANE NANE) Mkoani Morogoro

Afisa uhusiano mwandamizi Bw. Fulgence Sebera akitoa maelezo ya shughuli za Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Majid Mwanga (wa tatu kulia) aliyeambatana na viongozi wengine wa TASO walipotembelea banda la SSRA katika sherehe za maonesho ya wakulima Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere mkoani Morogoro.Mch. Vernon Fernandes (aliyekaa) alipotembelea banda la SSRA katika maonesho ya Nanenane Morogoro,...

 

11 years ago

Michuzi

KITUO CHA REDIO 5 CHANYAKUA UBINGWA MAONYESHO YA NANE NANE KANDA YA KASKAZINI

r1Wafanyakazi wa Kampuni ya Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Redio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha, wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi Mkuu wa mkoa wa Manyara Erasto Mbwilo na viongozi wa Taso mara baada ya kunyakua  ubingwa katika maonyesho ya kanda ya kaskazini kwa upande wa Sekta ya Mawasiliano na habari katika viwanja vya nane nane Themi jijini A rusha bMeneja masojo wa Tan Communication media Bi.Sarah Keiya akiwa na timu yake kutoka Redio 5 wakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF WAIBUKA WASHINDI KWENYE MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti NHIF akipokea Kikombe cha Ushindi wa Kwanza kundi la Mifuko ya Jamii Toka kwa Rais Jakaya Kikwete,kushoto na Kulia kwa Rais wakishuhudia tukio hilo Ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Mwantumu Mahiza na Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika,Stephen Wassira katika Ufungaji wa Maonesho hayo katika Viwanja Vya Ngongo LindiMeneja wa Mfuko wa NHIF Mkoa wa Lindi,Fortunata Kullaya(Alieshika kikombe)Kwa Pomoja na Mkurugenzi wa Masoko ,Rehani Athumani (kulia) na Grace Kisinga...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Shein afungua Maonesho ya Nane Nane Mkoani Lindi leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Maonesho ya kilimo ya nane nane kitaifa mwaka huu katika viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika Viwanja vya Ngongo yanapofanyika maonesho ya Kilimo ya nane nane kitaifa Mkoani Lindi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maonesho ya Nane Nane kitaifa yanayofanyika mkoani Lindi yafikia siku ya sita

01.

Wananchi wote mnakaribishwa kutembela banda la Wizara ya Fedha na taasisi zilizo chini yake ikiwemo UTT AMIS, Mfuko wa Pensheni PPF, GPSA na UTT PID uwanja wa maonesho ya kilimo ya Nane Nane Kitaifa Ngongo mkoani Lindi.

04

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), Josephat Mwambega akipokea fomu ya kujiunga na Mfumo wa Amana inayotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kutoka kwa Afisa Masoko wa Mfuko huo Nelusigwe Mwalugaja wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha. Wa...

 

11 years ago

Michuzi

BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU LAVUTIA NANE NANE DODOMA

Baadhi ya Wananchi wa Mjini Dodoma wakipata maelezo ya Uwekezaji na Uwezeshaji kutoka kwa Mchumi Mwandamizi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Vedasto Manumbu walipotembelelea Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Maonesho ya Nane Nane yanayoendelea Mjini Dodoma, Viwanja vya Nzuguni. Mratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Mollay akifafanua uratibu wa shughuli za serikali kwa Wanafunzi Shule ya Msingi Nzuguni “B” walipotembelea Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani