Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lukuvi aibua uvundo Ilemela

Ni katika Idara ya Ardhi, wananchi wadai kunyang’anywa maeneo yao bila maelezo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

CHADEMA WAANIKA UVUNDO WA BVR; MCHEZO WA NEC, CCM NA SERIKALI‏

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ameibua tuhuma nzito dhidi ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akisema kuwa wamekaidi ushauri wa kitaalam uliowazuia wasitumie mfumo mpya wa Biometric Voter Registration (BVR) katika uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura.
Mbowe amedai kuwa baada ya kuona zoezi la kuandikisha wapiga kura haliendi kama ilivyotakiwa, NEC walimtafuta mshauri mwelekezi aitwae Darrell Geusz,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mkurugenzi Ilemela matatani

MKURUGENZI wa Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, Alhaji Zuberi Mbyana, anadaiwa kushindwa kuchukua hatua kwa watendaji wawili wa Mtaa wa Chamwenda, Kata ya Nyakato ambao walitoroka na fedha za wananchi....

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC Ilemela atuhumiwa kumlinda mwekezaji

UONGOZI wa kiwanda cha kutengeneza nondo cha Nyakato Steel Mills (NSM), na uongozi wa Serikali ya Wilaya ya Ilemela jijini Mwanza, umeingia kwenye mgogoro na wananchi wapatao 200, wanaodai kutaka...

 

11 years ago

TheCitizen

House team approves Ilemela report

The Parliamentary Local Authorities Accounts Committee (Laac) has approved Ilemela Municipality’s financial and construction report on its five major development projects after being satisfied that it meets the prescribed criteria.

 

9 years ago

Raia Mwema

Mabula, Kiwia wanavyochambuliwa ubunge Ilemela

FILIMBI ya kampeni za Uchaguzi Mkuu nchini ilipulizwa Agosti 22, mwaka huu ambapo katika Jimbo la

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Daily News | The National Newspaper (Press Release) (Blog)

Ilemela calls for revision of Procurement Act


Ilemela calls for revision of Procurement Act
Daily News | The National Newspaper (press release) (blog)
THE Ilemela Municipal Executive Director, Mr John Wanga, has urged the government to review the Procurement Act of 2011 to help Local Government Authorities ( LGAs), across the country make quick decisions and purchase various items to facilitate ...

 

5 years ago

Michuzi

ILEMELA KINARA ZOEZI LA URASIMISHAJI MAKAZI


Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimkabidhi Hati ya umiliki ardhi Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha Richard Kwitega wakati wa zoezi la ugawaji hati katika Manispaa ya Ilemela mkoa wa Mwanza jana.


Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza wakati wa zoezi la ugawaji hati miliki za ardhi kwa wananchi wa Manispaa ya Ilemela mkoa wa Mwanza jana. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilemela ambaye ni Afisa Ardhi...

 

9 years ago

Raia Mwema

Viashiria hatari kampeni za uchaguzi Ilemela

UCHAGUZI Mkuu katika Jimbo la Ilemela mkoani Mwanza unakabiliwa na hatari ya kutofanyika kwa uhur

Christopher Gamaina

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenye mamlaka wanapochezea elimu Ilemela

MKURUGENZI wa Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, Alhaji Zuberi Mbyana, anapaswa kuchukuliwa hatua za kinidhamu kutokana na kupuuza malalamiko ya wazazi wa Mtaa wa Chamwenda, Kata ya Nyakato. Badala yake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani