Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA WAANIKA UVUNDO WA BVR; MCHEZO WA NEC, CCM NA SERIKALI‏

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe ameibua tuhuma nzito dhidi ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akisema kuwa wamekaidi ushauri wa kitaalam uliowazuia wasitumie mfumo mpya wa Biometric Voter Registration (BVR) katika uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura.
Mbowe amedai kuwa baada ya kuona zoezi la kuandikisha wapiga kura haliendi kama ilivyotakiwa, NEC walimtafuta mshauri mwelekezi aitwae Darrell Geusz,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Chadema yaituhumu CCM kwa Mchezo Mchafu!

a Bryceson Mathias, Bukene
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Nzega, Shekhe Omari Omari, amekituhumu Chama cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi wake Kisiasa wilayani Bukene, akidai wamebaini njama za kuwabambikizia Kesi wanachama wa Chadema ili kuwatisha.

Akizungumza na Tanzania Daima Shekhe Omari ambaye pia ni Shekhe wa Wilaya ya Bukene na Diwani wa Kata Bukene (Chadema) alisema, kutokana na CCM kuanza kuweweseka na Ushindi wa Chadema kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM, Chadema waikaba NEC Iringa

Mvutano mkali umeibuka baina ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva na Vyama vya Siasa vya Chadema na CCM kuhusu Daftari la Kudumu la Wapiga kura Jimbo la Kalenga, baada ya kuonekana kuna wapiga kura 600 wa ziada.

 

10 years ago

TheCitizen

NEC yet to receive BVR kits

The National Electoral Commission (NEC) has yet to receive nearly 8,000 biometric voter registration kits (BVRs) ahead of the start of registration on February 16.

 

10 years ago

Daily News

NEC given funds for more BVR kits


NEC given funds for more BVR kits
Daily News
THE National Electoral Commission (NEC) has received 70 per cent of funds it needs for buying 8,000 Biometric Voter Registration (BVR) kits, Prime Minister, Mr Mizengo Pinda, said on Tuesday. “The government had disbursed 70 per cent of the required ...

 

10 years ago

TheCitizen

Keep off BVR, NEC tells politicians

Morogoro/Arusha. The National Electoral Commission has warned politicians against interfering in voter registration in their areas.

 

10 years ago

Mwananchi

NEC itathmini uandikishaji wa BVR

Lawama na vurugu za shughuli za uandikishaji wananchi kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura, vinazidi kupamba moto siku hadi siku.

 

9 years ago

GPL

NEC: VIFAA BVR FEKI

Mkurugenzi wa NEC, Ramadhani Kailima. Siku moja baada ya kunaswa mashine zilizosadikiwa kuwa ni za uandikishaji wapiga kura kwa njia ya kielektroniki (BVR), zilizokuwa zikiandikisha wafanyakazi wa Kiwanda cha MM Steel jijini Dar es Salaam, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeibuka na kueleza kuwa mashine hizo ni 'feki' na wala hazihusiani kwa namna yoyote na vifaa vyao.   Jaji mstaafu Damian Lubuva akizungumza na viongozi wa...

 

11 years ago

Habarileo

NEC:Gharama mashine za BVR ndogo

GHARAMA za kununua mashine za kisasa zitakazotumika katika kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Biometric Voters Registration (BVR) ni ndogo, ukilinganisha na bei aliyoitoa mzabuni wa kwanza kabla ya zabuni hiyo kufutwa na Mamalaka ya Rufaa za Manunuzi ya Umma (PPAA).

 

11 years ago

Tanzania Daima

NEC yazidisha utata zabuni ya BVR

TUME ya Taifa ya Uchaguzi nchini (NEC), imezidi kuibua utata kuhusiana na gharama halisi za kupata mzabuni wa kuboresha daftari la kudumu la kupigia kura kwa njia ya kielektroniki, (BVR),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani