Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC:Gharama mashine za BVR ndogo

GHARAMA za kununua mashine za kisasa zitakazotumika katika kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Biometric Voters Registration (BVR) ni ndogo, ukilinganisha na bei aliyoitoa mzabuni wa kwanza kabla ya zabuni hiyo kufutwa na Mamalaka ya Rufaa za Manunuzi ya Umma (PPAA).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wingi wa mashine za BVR waongeza gharama

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kupanda kwa gharama za kampuni iliyoshinda tenda ya kuleta nchini mashine za kisasa za kuandikisha wapigakura za Biometric Voters Registration (BVR) inatokana na idadi ya mashine hizo kuongezeka kutoka 12,000 hadi 15,500.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mashine ya BVR sasa haina tatizo hata kwa wenye vidole vyenye sugu — NEC

unnamed

Mbunge  wa  jimbo la  Ludewa, Mh. Deo Filikunjombe (kushoto) akiweka sahihi  katika mashine ya kielektroniki za Biometric Voters Registration (BVR),wakati akijiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura juzi katika kituo cha shule ya msingi Ludewa mjini, wa pili kulia anayeshuhudia ni kamishina wa tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC), Prof. Amone Chaligha.

Na MatukiodaimaBlog, Ludewa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema mchakato wa uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura ...

 

10 years ago

Dewji Blog

AUDIO: Jaji Lubuva akanusha vikali taarifa ya gazeti ‘Mkandarasi wa mashine za BVR amegoma kuleta mashine nchini’

jaji-lubuva

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akitoa kanusho kuhusiana na Mkandarasi wa BVR kugoma kuleta vifaa, achachamaa kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la Tanzania Daima.

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: GHARAMA NDOGO KABISA YA KUSAJILI KAMPUNI HII HAPA

Na  Bashir  Yakub.Kutokana  na  maendeleo  ya  biashara  duniani  kote  imekuwa  ni vigumu  sasa  kufanya  biashara  nje  ya kampuni.  Hii  ni  kwasababu  kila  kampuni  au  taasisi  utakayotaka  kufanya  nayo  biashara   iwe  kununua  kwao  au  kuuza  kwao  basi  kitu  cha  kwanza  watakachokwambia  ni  kuwa  hatufanyi  biashara  na watu  binafsi.  
Zipo  biashara  ambazo    watu  wengi  bado  wanazifanya  nje  ya  kampuni   lakini  ukweli  ni  kuwa  biashara  hizo  kwa ulimwengu  wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi:Tanzania kutumia Mashine za BVR

Tanzania kuendelea kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo wa Biometric Voter Registration - BVR

 

10 years ago

Mwananchi

Mashine za BVR zaongezwa, mizozo yaibuka

Wakati mashine za Biometric Voters Registration (BVR) zikiongezwa kulingana na mahitaji, zogo limezuka kwenye Kituo cha Mtaa wa Saranga, Kimara baada ya wananchi waliojiorodhesha kufikia 10,000 huku kukiwa na mashine tatu.

 

10 years ago

Mtanzania

Mashine za BVR zagoma tena Makambako

Na Michael Mapollu, Makambako
UBORESHAJI wa Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa kielekroniki umeingia dosari baada ya baadhi ya mashine zinazotumika kwa ajili ya kazi hiyo kushindwa kufanya kazi.
Kazi hiyo iliingia dosari jana katika Mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe ikiwa ni siku ya kwanza ya kuanza uandikishaji huo.
Tatizo hilo lilibainika baada ya mashine nyingi zilizopangwa kufanikisha kazi hiyo kutofanya kazi katika baadhi ya vituo vilivyotengwa kwa ajili ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mashine 1,600 zaidi za BVR zawasili nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema uandikishaji wa wananchi kwenye Daftari la Wapigakura nchini utamalizika mwishoni wa mwezi ujao baada ya mashine 1,600 zaidi za kielektroniki kwa ajili ya kazi hiyo kuwasili juzi.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mashine za BVR zageuka biashara jijini Arusha

Kinamama wakifanyabiashara ya Mama ntilie katika kituo cha kupiga kura cha kata ya Sombetini, vituo vya kujiandikisha vinakabiliwa na idadi kubwa ya watu hali inayopelekea foleni ndefu na watu kukesha kwenye vituo. Zoezi la Uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa kisasa wa BVR umechukua sura mpya kutokana na baadhi ya watu kuwauzia watu nafasi za kuingia katika vituo vya kujiandikishia hivyo kugeuka biashara  kwa wanaokwepa foleni ndefu na kukesha katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani