Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashine za BVR zagoma tena Makambako

Na Michael Mapollu, Makambako
UBORESHAJI wa Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa kielekroniki umeingia dosari baada ya baadhi ya mashine zinazotumika kwa ajili ya kazi hiyo kushindwa kufanya kazi.
Kazi hiyo iliingia dosari jana katika Mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe ikiwa ni siku ya kwanza ya kuanza uandikishaji huo.
Tatizo hilo lilibainika baada ya mashine nyingi zilizopangwa kufanikisha kazi hiyo kutofanya kazi katika baadhi ya vituo vilivyotengwa kwa ajili ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kenya, Nigeria zagoma kuiazima Tanzania BVR

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema ofisi yake ilijaribu kuazima vifaa vya kielektroniki vya Biometric Voters Registration (BVR) katika nchi ya Kenya na Nigeria kwa ajili ya kuandikisha wapiga kura, lakini nchi hizo zilikataa.

 

10 years ago

Dewji Blog

AUDIO: Jaji Lubuva akanusha vikali taarifa ya gazeti ‘Mkandarasi wa mashine za BVR amegoma kuleta mashine nchini’

jaji-lubuva

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akitoa kanusho kuhusiana na Mkandarasi wa BVR kugoma kuleta vifaa, achachamaa kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la Tanzania Daima.

 

9 years ago

Dewji Blog

Dk Magufuli atoa mpya tena afanya mazoezi ya nguvu jukwaani Makambako

  Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akifanya mazoezi jukwaani akijiandaa kujinadi kwa wananchi katika Mji wa  Makambako, mkoani Njombe leo,  jambo ambalo lilizua vifijo, nderemo na vigelegele kutoka kwa wananchi waliofurika kwenye mkutano huo wa kampeni.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akijinadi kwa wananchi  kwa kuwaomba ifikapo Oktoba 25, mwaka huu wakati wa Uchaguzi Mkuu, waende...

 

11 years ago

Habarileo

NEC:Gharama mashine za BVR ndogo

GHARAMA za kununua mashine za kisasa zitakazotumika katika kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Biometric Voters Registration (BVR) ni ndogo, ukilinganisha na bei aliyoitoa mzabuni wa kwanza kabla ya zabuni hiyo kufutwa na Mamalaka ya Rufaa za Manunuzi ya Umma (PPAA).

 

11 years ago

Mwananchi

Wingi wa mashine za BVR waongeza gharama

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kupanda kwa gharama za kampuni iliyoshinda tenda ya kuleta nchini mashine za kisasa za kuandikisha wapigakura za Biometric Voters Registration (BVR) inatokana na idadi ya mashine hizo kuongezeka kutoka 12,000 hadi 15,500.

 

10 years ago

Mwananchi

Mashine za BVR zaongezwa, mizozo yaibuka

Wakati mashine za Biometric Voters Registration (BVR) zikiongezwa kulingana na mahitaji, zogo limezuka kwenye Kituo cha Mtaa wa Saranga, Kimara baada ya wananchi waliojiorodhesha kufikia 10,000 huku kukiwa na mashine tatu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi:Tanzania kutumia Mashine za BVR

Tanzania kuendelea kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura kwa kutumia mfumo wa Biometric Voter Registration - BVR

 

10 years ago

Dewji Blog

Mashine za BVR zageuka biashara jijini Arusha

Kinamama wakifanyabiashara ya Mama ntilie katika kituo cha kupiga kura cha kata ya Sombetini, vituo vya kujiandikisha vinakabiliwa na idadi kubwa ya watu hali inayopelekea foleni ndefu na watu kukesha kwenye vituo. Zoezi la Uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa kisasa wa BVR umechukua sura mpya kutokana na baadhi ya watu kuwauzia watu nafasi za kuingia katika vituo vya kujiandikishia hivyo kugeuka biashara  kwa wanaokwepa foleni ndefu na kukesha katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Mashine 1,600 zaidi za BVR zawasili nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema uandikishaji wa wananchi kwenye Daftari la Wapigakura nchini utamalizika mwishoni wa mwezi ujao baada ya mashine 1,600 zaidi za kielektroniki kwa ajili ya kazi hiyo kuwasili juzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani