Mashine za BVR zageuka biashara jijini Arusha
Kinamama wakifanyabiashara ya Mama ntilie katika kituo cha kupiga kura cha kata ya Sombetini, vituo vya kujiandikisha vinakabiliwa na idadi kubwa ya watu hali inayopelekea foleni ndefu na watu kukesha kwenye vituo.
Zoezi la Uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa kisasa wa BVR umechukua sura mpya kutokana na baadhi ya watu kuwauzia watu nafasi za kuingia katika vituo vya kujiandikishia hivyo kugeuka biashara kwa wanaokwepa foleni ndefu na kukesha katika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog11 Mar
AUDIO: Jaji Lubuva akanusha vikali taarifa ya gazeti ‘Mkandarasi wa mashine za BVR amegoma kuleta mashine nchini’
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akitoa kanusho kuhusiana na Mkandarasi wa BVR kugoma kuleta vifaa, achachamaa kutokana na habari iliyoandikwa na gazeti la Tanzania Daima.
10 years ago
MichuziBENKI YA CRDB YASHIRIKI KONGAMANO LA VIJANA LA BIASHARA LILILOANDALIWA NA TAASISI YA AIESEC JIJINI ARUSHA
Kongamano hilo lilihudhuriwa na Vijana kutoka katika Vyuo Vikuu vya nchi za Afrika Mashariki na kuandaliwa na Taasisi ya AIESEC ambalo hujihusisha na ubunifu wa vipaji vya uongozi miongoni mwa vijana lililofanyika jijini Arusha hivi karibuni katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Hall CDTI- TENGERU, Arusha...
10 years ago
Mwananchi26 Jul
Mashine za BVR zaongezwa, mizozo yaibuka
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Mashine za BVR zagoma tena Makambako
Na Michael Mapollu, Makambako
UBORESHAJI wa Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa kutumia mfumo mpya wa kielekroniki umeingia dosari baada ya baadhi ya mashine zinazotumika kwa ajili ya kazi hiyo kushindwa kufanya kazi.
Kazi hiyo iliingia dosari jana katika Mji mdogo wa Makambako mkoani Njombe ikiwa ni siku ya kwanza ya kuanza uandikishaji huo.
Tatizo hilo lilibainika baada ya mashine nyingi zilizopangwa kufanikisha kazi hiyo kutofanya kazi katika baadhi ya vituo vilivyotengwa kwa ajili ya...
11 years ago
Habarileo11 Jul
NEC:Gharama mashine za BVR ndogo
GHARAMA za kununua mashine za kisasa zitakazotumika katika kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Biometric Voters Registration (BVR) ni ndogo, ukilinganisha na bei aliyoitoa mzabuni wa kwanza kabla ya zabuni hiyo kufutwa na Mamalaka ya Rufaa za Manunuzi ya Umma (PPAA).
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Wingi wa mashine za BVR waongeza gharama
10 years ago
BBCSwahili19 Dec
Uchaguzi:Tanzania kutumia Mashine za BVR
10 years ago
Mwananchi31 May
Mashine 1,600 zaidi za BVR zawasili nchini