Lulu Afuata Nyayo za Wema, Ahamasisha Matumizi Bora ya Mitandao ya Kijamii
Staa mrembo kutoka Bongo movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ mwenye followers zaidi ya laki nne kwenye mtandao wa Instagram amewataka vijana kutumia mitandao ya kijamii kujengana zaidi ikiwa ni siku chake baada ya staa mwenzake, Wema Sepetu kuwataka wanawake na jamii kwa ujumla kutumia mitando hiyo kuhamasishana kwenye vitu vya kimaendeleo zaidi.
“Nikiwa kama kijana mpenda maendeleo,mwenye ndoto na malengo ya kufika mbali najua mawazo yangu pekeyangu yanaweza yasitoshe mimi kufika...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog14 Dec
Enhance Auto yakabidhi Gari kwa mshindi wa shindano la matumizi bora ya mitandao ya kijamii
Kamanda wa Kikosi Usalama barabarani, Mohamed Mpinga (kulia) akimkabidhi zawadi ya gari aina ya Toyota Surf, mhitimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Jackson Kapongo aliyeshinda kupitia mchezo wa Matumizi bora ya Mitandao ya Kijamii iliyoendeshwa na Kampuni ya Enhance Auto ya Jijini Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Enhance Auto, Aatif Farooq Butt.(Picha na Father Kidevu Blog).
Mkurugenzi wa Enhance Auto, Aatif Farooq Butt akionesha stika za kuhamasisha usalama barabarani...
10 years ago
GPLPICHA ZA LULU ZATIKISA MITANDAO YA KIJAMII
10 years ago
GPLWASANII WASISITIZWA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO YA KIJAMII
5 years ago
CCM Blog24 May
DKT. BASHIRU AKEMEA MATUMIZI MABAYA YA MITANDAO YA KIJAMII
Katibu Mkuu wa CCM Dk. Bashiru Ally amekemea watu wanaotumia mitandao ya kijamii kupotosha jamii na hata kufikia hatua ya kuzua vifo kwa wengine, kama alivyofanya anayejiita Kigogo2014 katika mtandao wa twitter alipotoa taarifa za uongo za kifo cha Mtendaji wa Jumuiya ya CCM wilayani Rombo.
Ameyasema hayo alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la CCM mkoa wa Pwani leo tarehe 23 Mei, 2020 akitokea Dar es salaam kuelekea Makao Makuu ya Chama na Serikali...
11 years ago
Dewji Blog03 Jul
Jeshi laonya matumizi mabaya ya simu za mikononi na mitandao ya kijamii
Msemaji wa Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ), Luteni Kanali Erick Komba.
Na Mwandishi wetu.
Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) limetoa onyo kwa vijana na watanzania kwa ujumla kutokana na matumizi mabaya ya simu za mikononi na mitandao ya kijamii, hasa kwa taarifa zinazohusu Jeshi.
Hatua hiyo imekuja baada ya mtu/watu wasiojulikana kusambaza taarifa za uongo kuhusu vijana kwa mujibu wa sheria wanaoendelea na mafunzo katika makambi mbalimbali ya JKT wanakufa kwa ukatili.
Akikanusha taarifa hizo...
10 years ago
Michuzimafunzo ya wiki moja ya matumizi ya teknolojia ya mawasiliano na mitandao ya kijamii
10 years ago
MichuziBASATA, TCRA WATAKA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO YA KIJAMII KWA WASANII
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na mamlaka ya mawasiliano nchini (TCRA) mapema wiki hii wamelaani matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii miongoni mwa wasanii wakati wa programu ya Jukwaa la Sanaa iliyofanyika makao makuu ya Baraza hilo yaliyoko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam.
Akiongea wakati akiwasilisha mada iliyohusu ‘Matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kwa wasanii’, Meneja mawasiliano wa TCRA Innocent Mungy alisema kuwa wasanii ni kioo cha jamii hivyo kwa...
10 years ago
MichuziMAFUNZO YA SIKU TATU YA MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) YAFUNGWA NA KAMISHNA WA KAZI NA UTUMISHI WA UMMA ZANZIBAR.
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
‘Wafundisheni wanafunzi matumizi bora ya mitandao’
WALIMU mkoani hapa wametakiwa kushirikiana na wazazi katika kuwafundisha wanafunzi matumizi mazuri ya mitandao hususan simu za mikononi katika mazingira yasiyoharibu maadili yao. Akizungumza katika mahafali ya kuhitimu darasa la...