Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LULU AMPA SOMO MTOTO WA MIL. 50 ZA TMT

Stori: Shakoor Jongo
MUIGIZAJI mwenye mvuto wa aina yake katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ amempa somo mshindi wa Shindano la Tanzania Move Talent ‘TMT,’ Mwanafaa Mwinzago kuwa asibweteke na ushindi aliopata bali azingatie masomo. Muigizaji mwenye mvuto wa aina yake katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. Akizungumza na Ijumaa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

AUNTY LULU AMPA SOMO JOHARI

Stori: Gladness Mallya
SOMO! Staa wa Bongo Movies, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na kumtaka msanii mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’ kukubaliana na matokeo ya aliyekuwa mpenzi wake Vincent Kigos ‘Ray’ kwamba kwa sasa ana uhusiano na mtu mwingine. Staa wa Bongo Movies, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. Akistorisha na paparazi wetu, Aunty Lulu alimtaka Johari kukubaliana...

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba ampa somo Werema

>Siku moja baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema kusema wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wanaweza kubadili chochote, isipokuwa tunu za Taifa, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ameonya kuwa jambo hilo linapaswa kufanywa kwa uangalifu mkubwa.

 

9 years ago

Habarileo

Kiemba ampa somo Elias Maguli

KIUNGO wa Stand United, Amri Kiemba amemtaka mshambuliaji wa timu hiyo Elias Maguli kutokimbilia timu kubwa kipindi hiki badala yake aendelee kuitumikia timu hiyo ili kukuza kiwango chake na kupata uzoefu wa kutosha.

 

10 years ago

GPL

FLORA AMPA SOMO AUNT EZEKIEL

Stori: Gladness Mallya
NENO! Siku chache baada ya kunasa mimba ya pili, mwigizaji Flora Mvungi amempa somo la uzazi staa mwenzake, Aunt Ezekiel kuwa anapaswa kuzingatia taratibu za kliniki, vinginevyo atapata madhara makubwa. Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Akizungumza na mwanahabari wetu, Flora alisema mbali na kupunguza kujirusha, anamshauri Aunt aende kwa Dokta Fadhili Emily wa Kliniki ya The Fadhaget Sanitarium Kitengo...

 

10 years ago

GPL

WASTARA AMPA SOMO LA NDOA LUCY KOMBA

Stori Na: Gladness Mallya
SIKU chache baada ya msanii mkongwe wa filamu Bongo, Lucy Komba kuolewa, msanii mwenzake, Wastara Juma ameibuka na kumpa somo la ndoa huku akimtaka kuwa mvumilivu na msiri katika maisha hayo mapya. Staa wa filamu za Kibongo,Wastara Juma. Akistorisha na paparazi wetu, Wastara alisema maisha ya ndoa yanahitaji uvumilivu na usiri mkubwa hivyo Lucy anatakiwa kuzingatia hayo kwani ndiyo siri ya kudumu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mwanaafa azoa Mil. 50 za TMT

MUIGIZAJI chipukizi Mwanaafa Libuyu kutoka mkoni Mtwara, ameibuka kinara wa shindano la mwigizaji bora anayechipukia lililofanyika chini ya uratibu wa Kampuni ya Tanzania Movie Talents (TMT). Kwa ushindi huo katika...

 

10 years ago

Vijimambo

SOMO LA KONDOM JAMAA KA FALL KABISA HATIMAYE DIAMOND AMPA UJAUZITO ZARI

USHAHIDI WA UJAUZITO HUOUsiku wa jana, Dimaond aliweka ujumbe unaosema “I can not wait to have you on my hands #Chibu_Junior” akimaanisha “siwezi kusubiri kukuweka kwenye mikono yangu #Chibu_Junior” huku akiambatanisha na picha ya Ultrasound aliyoupiga na Zari (Kama hujui Ultrasound ni nini Tafadhali google) na baadaye Zari naye akapost picha yake akichukuliwa vipimo hivyo bila kuandika kitu chochote na kuwaacha wananchi wakimwagika na comment za kutosha kuhusu picha hizo ambazo fika...

 

10 years ago

GPL

ZARI AMPA DIAMOND GARI LA MIL.500

Musa mateja
MAMA kijacho wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, amewadhihirishia mashabiki wa bwana’ke huyo kuwa yuko fiti kifedha kwa kumpatia gari aina ya Ferrari 548 Spider lenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 500. Mama kijacho wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani