Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AUNTY LULU AMPA SOMO JOHARI

Stori: Gladness Mallya
SOMO! Staa wa Bongo Movies, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na kumtaka msanii mwenzake, Blandina Chagula ‘Johari’ kukubaliana na matokeo ya aliyekuwa mpenzi wake Vincent Kigos ‘Ray’ kwamba kwa sasa ana uhusiano na mtu mwingine. Staa wa Bongo Movies, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. Akistorisha na paparazi wetu, Aunty Lulu alimtaka Johari kukubaliana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

LULU AMPA SOMO MTOTO WA MIL. 50 ZA TMT

Stori: Shakoor Jongo
MUIGIZAJI mwenye mvuto wa aina yake katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ amempa somo mshindi wa Shindano la Tanzania Move Talent ‘TMT,’ Mwanafaa Mwinzago kuwa asibweteke na ushindi aliopata bali azingatie masomo. Muigizaji mwenye mvuto wa aina yake katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’. Akizungumza na Ijumaa...

 

11 years ago

GPL

JOHARI ATOA SOMO LA UZAZI

Stori: Mayasa Mariwata SOMO! Staa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’, ametoa somo kwa baadhi ya wasanii wa kike ambao wamekuwa wakijibweteka na kushindwa kudumisha upendo kwa wapenzi wao baada ya kujifungua. Staa wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akipiga stori na paparazi wetu, Johari alisema miongoni mwa vitu ambavyo huwashushia upendo wanawake wengi ni uchafu baada ya kuzaa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Warioba ampa somo Werema

>Siku moja baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema kusema wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wanaweza kubadili chochote, isipokuwa tunu za Taifa, Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, ameonya kuwa jambo hilo linapaswa kufanywa kwa uangalifu mkubwa.

 

10 years ago

GPL

FLORA AMPA SOMO AUNT EZEKIEL

Stori: Gladness Mallya
NENO! Siku chache baada ya kunasa mimba ya pili, mwigizaji Flora Mvungi amempa somo la uzazi staa mwenzake, Aunt Ezekiel kuwa anapaswa kuzingatia taratibu za kliniki, vinginevyo atapata madhara makubwa. Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel. Akizungumza na mwanahabari wetu, Flora alisema mbali na kupunguza kujirusha, anamshauri Aunt aende kwa Dokta Fadhili Emily wa Kliniki ya The Fadhaget Sanitarium Kitengo...

 

9 years ago

Habarileo

Kiemba ampa somo Elias Maguli

KIUNGO wa Stand United, Amri Kiemba amemtaka mshambuliaji wa timu hiyo Elias Maguli kutokimbilia timu kubwa kipindi hiki badala yake aendelee kuitumikia timu hiyo ili kukuza kiwango chake na kupata uzoefu wa kutosha.

 

11 years ago

GPL

WASTARA AMPA SOMO LA NDOA LUCY KOMBA

Stori Na: Gladness Mallya
SIKU chache baada ya msanii mkongwe wa filamu Bongo, Lucy Komba kuolewa, msanii mwenzake, Wastara Juma ameibuka na kumpa somo la ndoa huku akimtaka kuwa mvumilivu na msiri katika maisha hayo mapya. Staa wa filamu za Kibongo,Wastara Juma. Akistorisha na paparazi wetu, Wastara alisema maisha ya ndoa yanahitaji uvumilivu na usiri mkubwa hivyo Lucy anatakiwa kuzingatia hayo kwani ndiyo siri ya kudumu...

 

11 years ago

Bongo Movies

Leo ni birthday ya mwigizaji Vicenti Kigosi ray, Johari ampa salamu tata, isome hapa

Leo mwigizaji maarufu nchini Vicent kigosi - Ray anasherehehea siku yake ya kuzaliwa huku akipata salamu mbalimbali za pongezi toka kwa mastaa mbalimbali nchini.

Moja ya watu wa kwanza kwanza kumpa salamu hiyo ni swahiba na rafiki yake mkubwa, JB akifuatiwa na mpenzi wake wa zamani Johari ambaye salamu yake inadaiwa na wachunguzi wa mambo kuwa ni kwa namna flani inamponda mpenzi wa sasa wa Ray , Chuchu hans, kutokana na maneno yaliyotumika ya salamu hiyo ambayo Johari anadaiwa kuwahi...

 

10 years ago

GPL

AUNTY LULU ASIMULIA ALIVYOBAKWA

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan My confession! (kukiri kwangu)! Mwanadada mwenye taito ya utangazaji na uigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefungua kinywa na kutoa la moyoni akisimulia tukio baya lililowahi kumkuta la jinsi alivyobakwa, Risasi Jumamosi lina ‘exclusive story’. Mwanadada mwenye taito ya utangazaji na uigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias...

 

10 years ago

GPL

AUNTY LULU: MAKALIO YANANITESA!

Mwandishi wetu
MWIGIZAJI Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kioja cha aina yake baada ya kuibuka na kusema kuwa makalio yake yanamtesa akidai anasumbuliwa sana na wanaume wanaovutiwa nayo faragha. Mwigizaji Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. Akipiga stori na Risasi Jumamosi, Aunty Lulu alisema wanaume wengi wamekuwa wakimiminika kutaka baada ya kusambaziana kuwa mwigizaji huyo analitumia umbo lake ndivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani