Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LULU: WATURUHUSU TUIGIZE NUSU UTUPU

Na Andrew Carlos
DIVA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameziomba mamlaka zinazosimamia maadili ya filamu nchini ziwaruhusu wasanii waigize nusu utupu ili kuendana na soko la kimataifa. Akitetea hoja yake mbele ya paparazi wetu, staa huyo aliyeitendea haki filamu ya Foolish Age alitolea mfano Tamthiliya ya Shuga iliyomtoa Lupita Nyong’o ambayo alicheza akiwa nusu utupu. “Wanasema...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

BATULI AKUBALI KUIGIZA NUSU UTUPU

MWANADAFADA mkali wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa kwa sasa yupo tayari kuigiza nusu utupu kwa sinema za nje ya nchi. Mwanadafada mkali wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Akipiga stori mbili-tatu na kona hii, Batuli alisema kuwa muvi nyingi Bongo huwa zinafungiwa kwa kukosa maadili na kwamba kama ikitokea nafasi akaitwa nje ya nchi kuigiza sini hizo, atakuwa...

 

10 years ago

GPL

MABETO: NAVAA NUSU UTUPU KIDIJITALI

NA MUSA MATEJA ‘Modo’ anayekuja kwa kasi Bongo, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amefunguka kuwa, haoni hatari kuvaa nguo za kihasara kwani anahisi utandawazi ndiyo unamsukuma kufanya hivyo. ‘Modo’ anayekuja kwa kasi Bongo, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ Akizungumzia tabia yake ya kupiga picha za nusu utupu kisha kuzitupia mtandaoni, mrembo huyo ambaye aliwahi kushiriki mashindano ya Miss...

 

10 years ago

GPL

SHAA, LINAH WACHUANA KI-NUSU UTUPU

Stori: Musa Mateja
Katika hali ya kushangaza, mastaa wa kike wa muziki, Esterlina Sanga ‘Linah’ na mwenzake Sarah Kaisi ‘Shaa’ waliibua gumzo kufuatia kuchuana kwa kupozi kihasara mbele ya kamera. Staa wa muziki wa kizazi kipya Esterlina Sanga ‘Linah’. Ilikuwa ndani ya Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar kulikokuwa na Tamasha la Fiesta ambapo paparazi wetu alipokuwa ‘back...

 

9 years ago

GPL

SABBY ANGEL APIGA ZA NUSU UTUPU

MSANII wa filamu na muziki, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amepiga picha zinazomuacha sehemu kubwa ya mwili wake wazi (nusu utupu) huku wengine wakimfananisha na Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1PzPLKK   

 

10 years ago

GPL

POCHI LAMUOKOA KAJALA KUKAA NUSU UTUPU

Stori: Musa Mateja Msanii wa filamu, Kajala Masanja, hivi karibuni alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu baada ya kukaa kwenye kiti na kuachia sehemu zake nyeti kiasi cha kuwatoa udenda baadhi ya wanaume. Msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja. Tukio hilo lilijiri mkoani Tanga wakati msanii huyo alipokwenda kwenye Tamasha la Fiesta, alipokaa kwenye kiti alijikuta akikaa vibaya mazingira yaliyomfanya ahangaike ili kuziba maeneo...

 

10 years ago

GPL

FAIZA: MIMI NI WA NUSU UTUPU TANGU UTOTONI

Imelda Mtema MREMBO aliyewahi kuwa na uhusiano na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally, mwanzoni mwa wiki hii aliamriwa na Mahakama ya Manzese/Sinza, amkabidhi mtoto kwa baba yake (Sugu) ambaye aliiomba mahakama hiyo imruhusu apewe mtoto huyo kwa madai kuwa mama yake huyo anamlea kinyume na maadili.   SOMA ZAIDI=====>http://bit.ly/1KfINdq ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanini kuadhimisha Siku ya Wanawake nusu utupu?

DUNIA imekuwa ikiadhimisha Siku ya Wanawake ambayo hufanyika Machi 8 ya kila mwaka. Siku hiyo imekuwa ikiadhimishwa kwa shughuli mbalimbali zinazowahusu wanawake moja kwa moja katika nyanja tofauti. Safari hii...

 

10 years ago

GPL

TOP TEN YA MASTAA KUVAA NUSU UTUPU SIYO ISHU KWAO!

MAKALA: AMRAN KAIMA/Ijumaa Ukifuatilia sana kwenye nchi za wenzetu kama vile Marekani na kwingineko, mastaa hawako makini na suala la uvaaji. Yaani si ajabu kuona staa mkubwa akikatiza mtaani akiwa amevaa nguo ya ndani na ukishangaa utaonekana mshamba. Jokate Mwegelo. Wanaovaa hivyo hawajakosa nguo za heshima za kuvaa bali ni ule ulimbukeni wa kutaka wawe gumzo na kuendelea kuwa maarufu.Kutokana na athari ya utandawazi, hapa...

 

10 years ago

CloudsFM

Nay: Video za wasichana wakiwa wamevaa nusu ‘’Utupu’ zinauza kibiashara

Katika hali ya kushangaza msanii wa Bongo Hip Hop,Nay Wa Mitego ametetea video ambazo hazina maadili zinazoonyesha wasichana wakiwa nusu utupu.

Picha kadhaa zimevuja kwenye mitandao ya kijamii zikumuonyesha msanii huyo akiwa kimahaba na msichana kitandani zikimaanisha kuwa kuna video yake mpya inakuja.‘’Yaah hizo picha ni za video yangu mpya ambayo itatoka hivi karibuni na kuhusu kwamba haina maadili mimi sijali na watu hajajua kama video za namna hizo zinalipa kibiashara na lazima twende na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani