SABBY ANGEL APIGA ZA NUSU UTUPU

MSANII wa filamu na muziki, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amepiga picha zinazomuacha sehemu kubwa ya mwili wake wazi (nusu utupu) huku wengine wakimfananisha na Mtangazaji wa Kipindi cha Keeping Up With The Kardashians, Kim Kardashian.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1PzPLKK  Â
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen23 Jan
Sabby Angel: Her Life, Career and new movie
>Her artistic career started in 2009. She started as a young singer who drew inspiration from the likes of Mariah Carey and Whitney Houston.
10 years ago
GPL
DENTI APIGA ZA UTUPU GESTI!
Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
AIBU ilioje! Denti wa chuo kimoja jijini Dar, anayefahamika kwa jina moja la Martha, amepiga picha akiwa mtupu katika nyumba moja ya kulala wageni iliyopo Tabata, ambako alikwenda akiwa na nguo za shule, tukio linalodaiwa kutokea hivi karibuni. Denti wa chuo anayefahamika kwa jina moja la Martha akiwa mtupu kitandani. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, picha hizo ziliwekwa katika...
10 years ago
GPL
MUME WA MTU APIGA PICHA ZA UTUPU NA MCHEPUKO!
Deogratius mongela
KALOLI Dawa ambaye ni mume wa mtu, amedaiwa kujipiga picha za utupu akiwa na mchepuko wake uliofahamika kwa jina moja la Irene kisha kusambaa mitandaoni.Picha za wawili hao wenyeji wa Wilaya ya Lamadi, mkoani Simiyu zimedaiwa kuvuja mara baada ya rafiki wa Irene kuziiba kwenye ‘laptop’ ya Kaloli na kuzisambaza mtandaoni. mume wa mtu huyo akiwa na mchepuko. Imedaiwa kuwa rafiki wa Irene ambaye...
11 years ago
GPL
MABETO: NAVAA NUSU UTUPU KIDIJITALI
NA MUSA MATEJA ‘Modo’ anayekuja kwa kasi Bongo, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ amefunguka kuwa, haoni hatari kuvaa nguo za kihasara kwani anahisi utandawazi ndiyo unamsukuma kufanya hivyo. ‘Modo’ anayekuja kwa kasi Bongo, Hamisa Hassan ‘Mabeto’ Akizungumzia tabia yake ya kupiga picha za nusu utupu kisha kuzitupia mtandaoni, mrembo huyo ambaye aliwahi kushiriki mashindano ya Miss...
11 years ago
GPL
LULU: WATURUHUSU TUIGIZE NUSU UTUPU
Na Andrew Carlos
DIVA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameziomba mamlaka zinazosimamia maadili ya filamu nchini ziwaruhusu wasanii waigize nusu utupu ili kuendana na soko la kimataifa. Akitetea hoja yake mbele ya paparazi wetu, staa huyo aliyeitendea haki filamu ya Foolish Age alitolea mfano Tamthiliya ya Shuga iliyomtoa Lupita Nyong’o ambayo alicheza akiwa nusu utupu. “Wanasema...
11 years ago
GPL
SHAA, LINAH WACHUANA KI-NUSU UTUPU
Stori: Musa Mateja
Katika hali ya kushangaza, mastaa wa kike wa muziki, Esterlina Sanga ‘Linah’ na mwenzake Sarah Kaisi ‘Shaa’ waliibua gumzo kufuatia kuchuana kwa kupozi kihasara mbele ya kamera. Staa wa muziki wa kizazi kipya Esterlina Sanga ‘Linah’. Ilikuwa ndani ya Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar kulikokuwa na Tamasha la Fiesta ambapo paparazi wetu alipokuwa ‘back...
11 years ago
GPL
BATULI AKUBALI KUIGIZA NUSU UTUPU
MWANADAFADA mkali wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amefunguka kuwa kwa sasa yupo tayari kuigiza nusu utupu kwa sinema za nje ya nchi. Mwanadafada mkali wa Bongo Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’. Akipiga stori mbili-tatu na kona hii, Batuli alisema kuwa muvi nyingi Bongo huwa zinafungiwa kwa kukosa maadili na kwamba kama ikitokea nafasi akaitwa nje ya nchi kuigiza sini hizo, atakuwa...
10 years ago
GPL
FAIZA: MIMI NI WA NUSU UTUPU TANGU UTOTONI
Imelda Mtema
MREMBO aliyewahi kuwa na uhusiano na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, Faiza Ally, mwanzoni mwa wiki hii aliamriwa na Mahakama ya Manzese/Sinza, amkabidhi mtoto kwa baba yake (Sugu) ambaye aliiomba mahakama hiyo imruhusu apewe mtoto huyo kwa madai kuwa mama yake huyo anamlea kinyume na maadili.  SOMA ZAIDI=====>http://bit.ly/1KfINdq ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania