Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


maadhimisho ya siku ya kupambana na kuenea kwa hali ya jangwa na ukame duniani wilayani same

Wito umetolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwaimu kwa jamii ya Umma wa Tanzania kutunza ardhi na udongo kwa ajili ya matumizi endelevu na kuifanya ardhi iwe na uwezo wa kuzalisha mazao ya kilimo na mifugo na kutoa huduma zingine muhimu ili kuepuka hali ya jangwa na ukame kwa kizazi cha sasa na kijacho na pia kuchukua hatua madhubuti za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. 
Mheshimiwa Mwalimu amesema hayo wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya kupambana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MAZINGIRA) ATOA TAMKO KUHUSU SIKU YA KUPAMBANA NA KUENEA KWA HALI YA JANGWA NA UKAME DUNIANI MJINI DODOMA LEO

Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Habari, Bungeni alipokutana nao kutoa Tamko kwa niaba ya Waziri kuhusu Siku ya kupambana na Kuenea kwa hali ya Jangwa na Ukame Dunia leo tarehe 16 Juni, 2014. Picha na Owen Mwandumbya.

 

5 years ago

Michuzi

TAMKO LA WAZIRI ZUNGU - SIKU YA KUPAMBANA KUENEA KWA JANGWA NA UKAME


  TAMKO LA MHE. MUSSA AZZAN ZUNGU (MB.), WAZIRI WA NCHI - OFISI YA MAKAMU WA RAIS, MUUNGANO NA MAZINGIRA KWA UMMA KUHUSU MAADHIMISHO YA KIMATAIFA YA SIKU YA KUPAMBANA NA KUENEA KWA HALI YA JANGWA NA UKAME DUNIANI, TAREHE 17 JUNI, 2020Ndugu Wananchi,Kila mwaka tarehe 17 Juni, nchi yetu huungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya Kimataifa ya Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame. Kimataifa Maadhimisho ya Siku hii yanafanyika Jijini Seoul nchini Korea Kusini. Kaulimbiu...

 

5 years ago

Michuzi

DC TALABA AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WILAYANI KISHAPU


Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Nyabaganga Talaba akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga yaliyofanyika leo Ijumaa Machi 6,2020 katika Viwanja vya Shule ya Msingi Mwigumbi,kijiji cha Mwigumbi kata ya Mondo  yakiongozwa na Kauli ya “Kizazi cha Usawa kwa Maendeleo ya Tanzania ya sasa na ya baadae”. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog Mkuu wa wilaya ya Kishapu Mhe. Nyabaganga Talaba akiwasihi wanafunzi kuzingatia masomo yao kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani Tarehe 23 Machi, 2014

 Kila mwaka tarehe 23 Machi nchi wanachama wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani hujiunga na kuadhimisha kuzaliwa kwa Shirika hilo lililoanzishwa tarehe 23 Machi, 1950 kulingana na kauli mbiu.  Kauli mbiu ya mwaka huu ni ’Ushirikishwaji wa Vijana katika Masuala ya Hali ya Hewa’- ”(Weather and Climate: Engaging Youth)”. Katika kuadhimisha Siku ya Hali ya Hewa Duniani (WMO), Shirika la Hali ya Hewa linawahamasisha vijana ulimwenguni kote kujihusisha na masuala ya hali ya hewa, ili kupata...

 

5 years ago

CCM Blog

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YALIVYORINDIMA KITAIFA MBELE YA MAMA SAMIA WILAYANI BARIADI MKOANI SIMIYU, LEO

Wanawake wakiwa kwenye Bajaji iliyokuwa ikiendeshwa na mwanamke mwenzao wakati wa Maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika Kitaifa yakiongozwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan , katika Uwanja wa Halmashauri Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu leo.

Wanawake wakiwa kwenye maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika Kitaifa yakiongozwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan , katika Uwanja wa Halmashauri Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu leo....

 

9 years ago

StarTV

Kuahirishwa kwa  maadhimisho Siku Ya Ukimwi Duniani kwapokelewa tofauti

Siku moja baada ya Serikali kutangaza kuahirisha shughuli za maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani ambayo yalipangwa kufanyika Kitaifa mkoani Singida mwaka huu, baadhi ya watu wanaoishi na Virusi vya ugonjwa huo wamekuwa na maoni na mitazamo tofauti juu ya uamuzi huo.

Baadhi wamepongeza uamuzi huo wa Serikali na wengine wakidai umechelewa kutolewa kwa kuwa wadau wengi walikwishaingia gharama kubwa za maandalizi na kusafiri hadi Singida kuhudhuria uzinduzi wa maadhimsiho hayo Jumatano hii...

 

11 years ago

Dewji Blog

PSPF washiriki katika maadhimisho ya siku ya usalama na afya duniani kwa wafanyakazi viwanja vya Mnazi Mmoja Dar

IMG_4021 - Copy

Ofisa muendeshaji wa Mfuko wa Pesheni wa Mashirika ya Umma (PSPF),  Bw. Hadji Jamadary (kushoto) akimwelekeza kujaza fomu Shabani Maganga wakati wa maaadhimisho ya siku ya usalama na afya kazini yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es salaam.

pspf 1 - Copy

Ofisa muendeshaji wa PSPF, Hadji Jamadary (kushoto) akiwapatia maelezo ya jinsi ya kujiunga na PSPF wakati wa mahadhimisho ya siku ya usalama na afya kazini yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es salaam.

pspf3 - Copy

Afisa Muendeshaji wa Mfuko wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani