Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA MWANZA.

ASKARI WAKILIPUA RISASI HEWANI WAKATI WA MAADHIMISHO MWANZA.ASKOFU SABINIUS ISSAYA AKITOA SALA WAKATI WA MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA MWANZA BASE KAMANDA AKIPOKEA SIME KUTOKA KWA MOJA YA ASKARI JESHI TAYARI KUWEKA KATIKA MNARA WA MASHUJAA.
DUWA IKISOMWA NA SHEIKH KWA NIABA SHEIKH WA MKOA.MDAU ATLEY KUNI KATIKA SIKU YA MASHUJAA HAPA KATIKA PICHA YA ENEO LA UKUMBUSHO.KANALI KIVAMBA AMBAYE NI BASE COMMENDER AKIWEKA SIME WAKATI WA MAADHIMISHO HAYO..HAPA WANAJESHI WAKIENDELEA NA GWARIDE LA SIKU...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

CloudsFM

RAIS KIKWETE MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA SIKU YA JANA

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ngao kwenye mnara wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika jana katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed Ali Shein kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa iliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana. Wengine ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed...

 

10 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA YAIVA

Askari wa kikosi cha bendera kutoka JWTZ wakiwa kwenye mazoezi. Askari wa JWTZ wakionesha mfano wa kutoa heshima kwa Amiri Jeshi Mkuu. Vikosi vya…

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE MGENI RASMI KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA LEO‏

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kasimama kikakamavu wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kwenye Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo Julai 25, 2014. Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwela ngao kwenye mnara wakati wa Maadhimisho ya siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yaliyofanyika katika bustani ya… ...

 

11 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI TAREHE 0 1- 05 JUNI, 2014, KUFANYIKA KITAIFA MKOANI MWANZA.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza
Mhe. Ernest Ndikilo akiongea na wanahabari  Mkuu wa Mkoa wa Mwaza anapenda kuwafahamisha ya kwamba, siku ya madhimisho ya mazingira Duniani, hufanyika kuanzia  tarehe 01 hadi 05 ya mwezi Juni, kwa  kila Mwaka. Kwa mwaka 2014 shirika la Umoja wa mataifa linalo shughulikia mazingira limetangaza  Kaulimbiu ya maadhimisho hayo kuwa ni “RAISE YOUR VOICE BUT NOT THE SEAL  LEVEL” kwa tafsiri ni “CHUKUA HATUA KUKABILIANA NA TABIANCHI na kitaifa” TUNZA MAZINGIRA ILI...

 

11 years ago

GPL

MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA MASHUJAA MKOANI MBEYA

Huu ni mkusanyiko wa watu kushuhudia maadhimisho ya siku ya mashujaa mkoani Mbeya asubuhi hii.
Watu wakizidi kumiminika katika eneo la…

 

10 years ago

Michuzi

RAIS JAKAYA KIKWETE MGENI RASMI MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Meck Sadiki akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sherehe za maadhimisho ya kumbukumbu ya Mashujaa zitakazofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiwa katika mazoezi katika viwanja vya Mnazi Mmoja leo jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwisho ya sherehe za Kumbukumbu ya Mashujaa. Picha na Aron Msigwa - MAELEZO.
BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ATEMBELEA KIWANDA CHA COCACOLA MWANZA KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na baadhi ya viongozi wa Mkoa wa Mwanza na wa Kiwada cha Cocacola, wakati alipowasili kwenye Kiwanda hicho kwa ajili ya kutembelea na kujionea mazingira ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Mazingira Duniani, zilizofanyika Kitaifa Mkoani Mwanza katika Viwanja vya Furahisha, jana Juni 5, 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza...

 

11 years ago

Michuzi

LEO NI SIKU YA MASHUJAA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Mkoani Kagera katika Kambi ya Jeshi la Wananchi Kaboya Wilayani Muleba. Kumbukumbu ya Mashujaa huadhimishwa kila mwaka jana Julai 25, 2013 ambapo mashujaa waliopigana vita katika kuikomboa nchi kutoka katika utawala wa wakoloni au kuikomboa nchi yao na wavamizi kama Nduli Idd Amini. Katika kuadhimisha siku hiyo ya Mashujaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Siku ya Mashujaa yatawaliwa na maombi ya katiba

MAADHIMISHO ya Siku ya Mashujaa jana yalitawaliwa na maombi kutoka kwa viongozi wa dini ya kuiombea serikali na mchakato wa katiba unaoendelea nchini. Katika maadhimisho hayo ambayo yaliongozwa na Rais...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani