Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAAFISA UTUMISHI KUTOKA MIKOA YA LINDI NA MTWARA WAPATA ELIMU JUU YA MAENDELEO YA MFUKO WA PENSHENI WA GEPF

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara,Mh. Halima Dendegu akifungua rasmi semina maalum kwa Maafisa Utumishi kutoka Mikoa ya Lindi la Mtwara Juu ya Maendeleo ya Mfuko wa Pensheni wa GEPF,uliofanyika Mkoani Mtwara.Katika hotuba yake ya Ufunguzi,Mh. Dendegu ameupongeza na kuushukuru uongozi wa Mfuko wa GEPF kwa kuifikisha elimu hiyo katika mikoa hiyo ya kusini. Meneja Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF,Bw. Aloyce Ntukamazina akiwasilisha mada juu ya maendeleo ya Mfuko wa GEPF, mafao mapya yatolewayo ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAENDELEA NA ZOEZI LA KUTOA ELIMU KWA WADAU WA MIKOA YA DODOMA NA SINGIDA

Meneja Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Bw. Aloyce Ntukamazina (kushoto) akimkabidhi rasmi kadi ya uanachama, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mh. Chiku Gallawa mara tu baada ya kujiunga na Mfuko huo akionyesha ni jinsi gani Mfuko umejipanga vyema kuwahudumia wanachama wake kwa wakati. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh Chiku Galawa akijaza fomu na kujiunga rasmi na Mpango wa hiari wa kujiwekea akiba ulianzishwa na GEPF (VSRS) akishuhudiwa na meneja wa GEPF mkoa wa Dodoma Bw Josephat Mshana.Meneja Masoko...

 

10 years ago

Michuzi

MAAFISA RASILIMALI WATU TOKA WILAYA YA ILALA WAGUSWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA MPANGO WA HIARI WA KUJIWEKEA AKIBA (VSRS) KUTOKA MFUKO WA PENSHENI WA GEPF

Meneja Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF.Bw.  Aloyce Ntukamazina akiwasilisha mada juu ya mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji katika Mfuko wa GEPF,wakati wa semina kwa Maafisa Rasilimali Watu kutoka Wilaya ya Ilala iliyofanyika kwenye hoteli ya Peacock,jijini Dar es salaam.  Meneja wa GEPF mkoa wa Ilala,Bw Jafari Meraji akisisitiza jambo juu ya faida zipatikanazo katika mpango wa hiari wa kujiwekea akiba (VSRS)Mmoja wa washiriki wa semina hiyo Bw Sebastian Enosh ambaye ni Meneja...

 

11 years ago

GPL

MFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAPATA WANACHAMA WAPYA WA KUNDI LA WASANII WA FILAMU.

Meneja masoko na huduma kwa wateja wa GEPF, Bw. Aloyce Ntukanazima akimkabidhi kadi msanii nguli wa filamu mzee Chilo.
Issa Musa ,'Cloud' akipokea kadi yake ya uanachama kutoka kwa Meneja masoko na huduma kwa wateja wa GEPF.
...Fatuma Makongoro, 'Bi.…

 

10 years ago

Michuzi

GEPF WATOA SEMINA MAALUM KWA MAAFISA RASILIMALI WATU KUTOKA MIKOA YA MWANZA, GEITA NA MARA

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,Mh. Magesa Mulongo akifungua rasmi semina hiyo maalum kwa maafisa rasilimali watu na kuusifia Mfuko wa GEPF kwa ubunifu wake na huduma bora kwa wateja.
Meneja Masoko na Huduma kwa Wateja kutoka Mfuko wa Pensheni wa GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akitoa neno la utangulizi kulia kwake ni Meneja wa GEPF Mkoa wa Mwanza Bw Nathan Makuchilo.Pichani baadhi ya washiriki wa semina hiyo maalum wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Magesa Mulongo wakati wa ufunguzi huo.

 

11 years ago

Michuzi

MFUKO WA UTT WATOA ELIMU KWA WATUMISHI WA SERIKALI NA WAKULIMA JUU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI MKOANI LINDI

Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga akitoa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi kuhusu, mifuko ya uwekezaji inayoendeshwa na UTT.   Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga. Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, wakimsikiliza Ofisa Masoko wa UTT, Rahim Mwanga wakati akitoa mafunzo kwa watumishi hao juu ya mifuko ya uwekezaji inayoendeshwa na UTT.  Mkurugenzi wa Masoko na Uhusino...

 

11 years ago

Michuzi

Vijana wa Babati wapata Mafunzo kuhusu upatikanaji wa Mikopo kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Vijana

Na: Genofeva Matemu – Afisa Mawasiliano Serikalini - WHVUM
Vijana wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati waaswa kuzingatia Sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana ya Mwaka 2007 ili kuweza kuleta maendeleo katika Halmashauri ya Mji wa Babati na hivyo kuwa chachu ya maendeleo nchini.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Venerose Mtenga wakati wa Mafunzo kwa Vijana kuhusu upatikanaji wa Mikopo kupitia Mfuko wa...

 

10 years ago

Vijimambo

GEPF WATOA SEMINA KWA MAAFISA UTUMISHI WA TAASISI MBALIMBALI JIJINI MBEYA

Meneja masoko wa mfuko wa pensheni wa GEPF, Ndg Aloyce Ntukamazima akimkaribisha mkuu wa mkoa wa mbeya ndg Abbas kandoro katika semina maalumu iliyoandaliwa na mfuko huo kwa Maafisa utumishi wa ofisi mbalimbali za mkoa huo.Baadhi ya maafisa utumishi wa mkoa wa mbeya wakifuatilia kwa makini semina hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Hill view jijini mbeya .Mkuu wa mkoa wa Mbeya Ndg. Abbas Kandolo akitoa neno la ufunguzi wa semina hiyo. Kushoto kwake ni Meneja wa GEPF Mkoa wa mbeya Ndg Ramadhan...

 

10 years ago

GPL

GEPF WATOA SEMINA KWA MAAFISA UTUMISHI WA TAASISI MBALIMBALI JIJINI MBEYA‏

Meneja masoko wa mfuko wa pensheni wa GEPF, Ndg Aloyce Ntukamazima akimkaribisha mkuu wa mkoa wa mbeya ndg Abbas kandoro katika semina maalumu iliyoandaliwa na mfuko huo kwa Maafisa utumishi wa ofisi mbalimbali za mkoa huo. Baadhi ya maafisa utumishi wa mkoa wa mbeya wakifuatilia kwa makini semina hiyo katika ukumbi wa hoteli ya Hill view jijini mbeya .… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani