MAAJABU! SHILOLE: SIKUMPA PENZI BARNABA
![](http://api.ning.com:80/files/pVOWqi0dq18DKq9g07x4pt4Ly05NeWVBPDp5S*hjBeO2dfiLHWJ2b4KQwfjpFfaBQ3uuS*9mWiZmnOYU*-PVDzF3XqEzDqvg/shilole.jpg?width=650)
Stori: Erick Evarist MAAJABU! Licha ya ulimwengu wa burudani Bongo kuamini kwamba staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ aliwahi kuanguka dhambini kwa Mbongo-Fleva, Elias Barnaba, mwanadashosti huyo ameibuka na kudai kuwa hakuwahi kumpa penzi. Shilole akifanya mahojiano na Global TV Online. Shilole anayetamba na Ngoma ya Nakomaa na Jiji, amefunguka hayo kupitia Global TV Online ambapo mahojiano hayo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mrjGDDFzeeE*0il56qQaZ*jPW9nay11rMI0ogUxDBMG7ZyT4SXoozpOYL8WJeX8XeEyLeHZtfqxk*L5NuYa3Ddh9kfmMpN1V/tamasha.jpg)
YEMI, SHILOLE KUFANYA MAAJABU KITAIFA
11 years ago
Michuzi26 Jul
YEMI, SHILOLE KUFANYA MAAJABU TAIFA USIKU WA MATUMAINI
![](http://api.ning.com/files/mrjGDDFzeeE*0il56qQaZ*jPW9nay11rMI0ogUxDBMG7ZyT4SXoozpOYL8WJeX8XeEyLeHZtfqxk*L5NuYa3Ddh9kfmMpN1V/tamasha.jpg)
![](http://api.ning.com/files/mrjGDDFzeeEfi*GtZE0505mBZ8STR-ENuwO-wTL4TDsjG0Mwvf8k0-2VPDXUd79MTEFOwTZPmCTMzKxhl9ZZPuotamgDq2*s/YemiAlade_FashionPlus.jpg?width=650)
Good newz ni kwamba Zuwena Mohamed ‘Shilole’ atapanda jukwaa moja na diva wa muziki kutoka Nigeria anayetamba na wimbo wa Johnny, Yemi Alade kudondosha shoo ya...
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/shilolee-3.jpg)
Penzi la Shilole na Nuh layeyuka
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzrK7c*O0R86nmmaxEm8Usau0ez0LlMUIgjVB8VtfF4tXpWfxg5jdvSlamgFjx8KP6Q8PniERIZZJv7ATyzt3AWq/15.jpg?width=650)
BARNABA, SHILOLE NGOMA DROO AVUTA NDINGA YA MIL.25
9 years ago
Bongo Movies02 Jan
Shilole, Eddy Kenzo wa Uganda Penzi Jipya
Kwa sasa ni dhahiri kabisa penzi la Shilole na Nuh Mziwanda limefika mwisho baada Shishi kumtambulisha mpenzi wake mpya msanii,Eddy Kenzo kutoka nchini Uganda.
‘’Nuh hanipendi Eddy Kenzo ndio ananipenda,ameniimbia wimbo nilikuwa sijui,naomba mjue kuwa ndiye mchumba wangu mpya,’’Alisema Shilole.
‘’Eddy Kenzo amenipenda tangu zamani lakini nilikuwa nikimpuuzia tu maskini ameonyesha upendo wake kwangu hadi kaimba wimbo kwa ajili yangu unajua sio kitu kidogo msanii mkubwa Afrika kuniimbia wimbo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BDlvIDeZhzhwwM1Gi1ltoVLVnGqsYX-8DK*V9miF2pYVv79T7dvGLh0YY0xGv3nBESTdMe5w5Fqu8gqeRFgFh5E6GI8QhM8e/frontpagewikienda.gif?width=650)
NUH AMUOMBA WEMA PENZI, SHILOLE AZIMIA!
9 years ago
Bongo Movies31 Dec
Shilole Afuta Tattoo ya Nuh Kifuani, Yasemekana Penzi Lao Limeingia Mchanga!
Kuna taarifa mtaani kuwa penzi la mastaa wa muziki, Shilole na Nuh Mziwanda limevunjika. Japokuwa sio mara ya kwanza kwa tetesi kama hizo kuhusu couple hiyo, lakini safari hii kuna dalili kuwa inaweza kuwa ‘serious’.
Moja ya vitu vinavyoongeza nguvu ya tetesi hizo, Shishi amefuta ile tattoo aliyochora kifuani kwake miezi kadhaa iliyopita, yenye jina la ‘Nuh’ na kuchora UA juu yake.
Tattoo mpya
Tattoo iliyofutwa
Kipindi cha karibuni wawili hao hawaonekani pamoja kama ilivyozoeleka, na kila...
9 years ago
Bongo530 Dec
Picha: Shilole afuta tattoo ya Nuh kifuani, yasemekana penzi lao limeingia mchanga!
![shilole-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/shilole-2-300x194.jpg)
Kuna taarifa mtaani kuwa penzi la mastaa wa muziki, Shilole na Nuh Mziwanda limevunjika. Japokuwa sio mara ya kwanza kwa tetesi kama hizo kuhusu couple hiyo, lakini safari hii kuna dalili kuwa inaweza kuwa ‘serious’.
Moja ya vitu vinavyoongeza nguvu ya tetesi hizo, Shishi amefuta ile tattoo aliyochora kifuani kwake miezi kadhaa iliyopita, yenye jina la ‘Nuh’ na kuchora UA juu yake.
Tattoo mpya
Tattoo iliyofutwa
Kipindi cha karibuni wawili hao hawaonekani pamoja kama ilivyozoeleka, na kila...