Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif afunga mkutano wa siku mbili wa mashauriano kuhusu amani na utulivu wa nchi dar es salam

Na Hassan Hamad, OMKR Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ametoa wito kwa Watanzania kuwa waangalifu na kuendeleza amani iliyopo, ili Tanzania isije ikatumbukia katika migogoro na machafuko kama inavyojitokeza kwa baadhi ya nchi za Afrika. Akifunga mkutano wa siku mbili wa mashauriano kuhusu amani na utulivu wa nchi huko ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Maalim Seif ambaye pia alikua mshiriki wa mkutano huo amesema...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MKUTANO WA MASHAURIANO KUHUSU AMANI, UMOJA NA UTULIVU WA NCHI YETU KUFANYIKA KESHO UKUMBI WA MIKUTANO WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mkutano wa amani, umoja na utulivu wa nchi utakaofanyika kuanzia leo na kesho ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa, serikali, dini, asasi za kiraia na wazee. Kulia ni Msaidizi wa mkurugenzi huyo, Gallus Abedi na Ofisa Mipango, Edger Atubonekisye. Mkutano...

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI MBALIMBALI WAJITOKEZA KATIKA MKUTANO WA MASHAURIANO KUHUSU AMANI, UMOJA NA UTULIVU WA NCHI YETU

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku akizungungumzwa katika mkutano wa siku mbili wa mashauriano kuhusu amani, umoja na utulivu wa nchi yetu ulioanza leo ambao utamalizika kesho. Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), ulifanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam leo asubuhi.  Brigedea Jenerali mstaafu, Francis Mbena akihutubia kwenye...

 

10 years ago

GPL

MKUTANO WA MASHAURIANO KUHUSU AMANI, UMOJA NA UTULIVU KUFANYIKA KESHO UKUMBI WA JULIUS NYERERE-DAR

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mkutano wa amani, umoja na utulivu wa nchi utakaofanyika kuanzia leo na kesho ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa, serikali, dini, asasi za kiraia na wazee. Kulia ni Msaidizi wa mkurugenzi...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif afungua mkutano wa kimataifa wa siku nne wa muziki kwa nchi za jahazi, Zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwamuwakilisha Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, katika ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa muziki kwa nchi za jahazi, inaofanyika chuo cha muziki Forodhani Zanzibar.Mkurugenzi wa Chuo cha Muziki Zanzibar bibi Fatma Kilua, akimkaribisha mgeni rasmi Maalim Seif katika ufunguzi za mkutano huo.Muandaaji wa mkutano huo Profesa Raymond Vogals, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi.
BOFYA HAPA KWA HABARI...

 

11 years ago

Habarileo

Maalim Seif asifu amani, utulivu Afrika Mashariki

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema hali ya amani na utulivu katika eneo la Afrika Mashariki ni ya kuridhisha.

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR, BALOZI SEIF AFUNGA MKUTANO WA 17 WA WAKUU WA MAJESHI YA ANGA WA NCHI ZA SADC - SAC

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 17 wa Wakuu wa Majeshi ya Anga wa Mataifa ya Kusini mwa Bara la Afrika SADC – SAC uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mzizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiufunga Mkutano wa 17 wa siku mbili wa Wakuu wa Majeshi ya Anga wa Mataifa ya Kusini mwa Bara la Afrika SADC – SAC uliomalizika Zanzibar Beach Resort.
Kamanda wa Majeshi ya Anga wa Jamuhuri ya Botswana Meja General...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AMUWAKILISHA DK. SHEIN KUFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MUZIKI KWA NCHI ZA JAHAZI

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwamuwakilisha Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, katika ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa muziki kwa nchi za jahazi, inaofanyika chuo cha muziki Forodhani Zanzibar.Mkurugenzi wa Chuo cha Muziki Zanzibar bibi Fatma Kilua, akimkaribisha mgeni rasmi Maalim Seif katika ufunguzi za mkutano huo.
Muandaaji wa mkutano huo Profesa Raymond Vogals, akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi. Baadhi ya washiriki...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Kimataifa wa siku mbili wa amani na Maendeleo endelevu wafanyika zanzibar

Wakati umefika sasa kwa Dunia kujikita zaidi katika kukabiliana na migogoro isiyokwisha kwenye baadhi ya Mataifa inayozaa makundi ya wakimbizi kutokana na vita vinavyosababishwa na ukabila na mfumo mbaya wa siasa unaozalisha wanawake wajane na watoto yatima na kuwafanya kukosa haki zao za msingi za kibinaadamu katika kuishi maisha ya salama na furaha. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohammed Shein alisema hayo wakati akiufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku Mbili...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA SIKU MBILI WA NCHI ZA AFRIKA KUANZISHA MAFUNZO YA MAFUTA NA GESI KATIKA VYUO VYA UFUNDI STADI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Mohamed Gharib Bilal (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dar es salaam,Profesa Hudson Nkotagu kuhusu uzalishaji wa Digrii 4 zinazozalishwa chuo kikuu cha Dar es Salaam,wakati wa Mkutano wa Jitihada za Nchi za Afrika za kuzalisha mafuta na Gesi Katika Vyuo vya mafunzo Stad,uliofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julias Nyerere Jijini Dar es salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani