Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif asifu amani, utulivu Afrika Mashariki

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema hali ya amani na utulivu katika eneo la Afrika Mashariki ni ya kuridhisha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif afunga mkutano wa siku mbili wa mashauriano kuhusu amani na utulivu wa nchi dar es salam

Na Hassan Hamad, OMKR Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ametoa wito kwa Watanzania kuwa waangalifu na kuendeleza amani iliyopo, ili Tanzania isije ikatumbukia katika migogoro na machafuko kama inavyojitokeza kwa baadhi ya nchi za Afrika. Akifunga mkutano wa siku mbili wa mashauriano kuhusu amani na utulivu wa nchi huko ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Maalim Seif ambaye pia alikua mshiriki wa mkutano huo amesema...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wasira asifu amani na utulivu kwa Watanzania

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira, amesema Watanzania wamebarikiwa amani, umoja na utulivu ndiyo maana kila jambo wanalolifanya linafanikiwa bila matatizo. Wassira alisema miongoni mwa...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif kuzindua mpango wa kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki

Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wananchi na wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mkuu uliyofanyika Jimbo la Mkwanjuni, Kaskazini Unguja. Na Hassan Hamad, OMKR […]

The post Maalim Seif kuzindua mpango wa kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif azindua ajenda ya kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akijibu maswali ya wanafunzi wa vyuo vikuu baada ya kuzindua ajenda ya chama chake ya kuifanya Zanzibar, kuwa kama Singapore. Na Hassan Hamad, OMKR […]

The post Maalim Seif azindua ajenda ya kuifanya Zanzibar kuwa Singapore ya Afrika Mashariki appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN WA KUIMARISHA MASUALA YA USHIRIKIANO KATIKA AMANI, USALAMA NA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA ZANZIBAR

Vijana wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa ufunguzi wa mkutano huo kulia Ali Hamad Suleiman na Rukaiya Rashid Kombo. uliofanyika katika ukumbi wac hoteli ya Zanzibar Beach Resorty Mazizini Zanzibar na kufunguliwa na Balozi Ali Ali Iddi kwa niaba ra Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein Viongozi wa meza kuu wakisimama wakati wa kuimbwa kwa wimbo wa Taifa kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliowashirikisha Marais Wastaafu, Viongozi wa Dini na Vijana...

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim seif awataka JK na Shein Kusimamia amani

Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amemuomba Rais Jakaya Kikwete na Rais Ali Mohamed Shein kubeba dhamana ya uongozi katika siku hizi chache zilizobaki za uongozi wao kwa kusimamia katiba na sheria za nchi.

 

11 years ago

Michuzi

maalim seif akagua maendeleo ya ujenzi uwanja wa ndege wa kimataifa wa amani karume, zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameelezea kuridhishwa kwake na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa miradi mitatu inayoendelea kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume. 
Miradi hiyo inahusisha ukarabati na ujenzi wa njia za kupitia ndege wakati wa kuruka pamoja na sehemu ya maegesho ya ndege, ujenzi wa uzio wa eneo la uwanja wa ndege, pamoja na ujenzi wa jingo jipya la abiria (Terminal 2). 
Akizungumza katika ziara ya kutembelea miradi hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF NA AMANI KARUME WASHIRIKI KWENYE FUTARI YA PAMOJA MASJID IMANI UNGUJA

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na waislamu mbali mbali wakati akiwasili “Masjid Imani” iliyoko Mbweni kwa ajili ya kufutari. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume, wakisalimiana na waislamu mbali mbali katika “Masjid Imani” iliyoko Mbweni walipofika kwa ajili ya kufutari. Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume, akipokea zawadi ya misahafu kutoka kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MASPIKA WA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA JIJINI DAR KUJADILI MASUALA MBALIMBALI YANAYOHUSU NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Na Bakari Issa,Dar es Salaam
Maspika wa Bunge wa Afrika Mashariki wamekutana jijini Dar es Salaam ili kujadili masuala mbalimbali yanayozihusu nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki likiwemo suala la Ugaidi pamoja na vurugu zinazotokea ,maendeleo hususan Barani Afrika.
Katika Mkutano huo wenye jina la ‘Jukwaa la Maspika wa Mabunge ya Afrika Mashariki’ulihuduliwa na Maspika wa nchi za Tanzania,Kenya,Uganda, Rwanda pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA),Mhe.Daniel Kidega....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani