Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif kuwawekea mazingira bora wafanyabiashara

Mgombea urais wa Zanzibar wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wananchi na wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa kampeni uliyofanyika kwenye uwanja wa Kwageji, Bububu Unguaj. Na Hassan Hamad, OMKR Sunday, October 18, 2015 […]

The post Maalim Seif kuwawekea mazingira bora wafanyabiashara appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Maalim Seif akutana na ujumbe wa baraza la wafanyabiashara wa Uturuki

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na ujumbe wa baraza la wafanyabiashara waUturuki,uliofika ofisini kwake Migombani kwa ajili ya mazungumzo ya kuendeleza biashara kati ya Zanzibar na Uturuki. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na mwenyekiti wa baraza la wafanyabiashara wa Uturuki na Tanzania Atakan Giray, Ofisini kwake Migombani. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,...

 

9 years ago

StarTV

Wafanyabiashara soko la dagaa waiomba Serikali kuwawekea mipango madhubuti

Wafanyabiashara wa Dagaa nchini wameiomba Serikali kuweka mipango madhubuti ya kuimarisha soko la dagaa ndani na nje ya Tanzania ili kuwawezesha kujikwamua kiuchumi kupitia rasilimali hiyo.

Wamesema kwa sasa kuna ongezeko la uhijati wa dagaa katika maeneo mengi ikiwa ni pamoja na nje ya Tanzania, lakini bado wanakabiliwa na changamoto ya upataji wa masoko hayo ya nje kulingana na viwango vya kimataifa.

Jijini Dar Es Salaam, baadhi ya wafanyabiashara kutoka  mikoa inayovua dagaa kwa ajili ya...

 

10 years ago

Michuzi

Maalim seif afungua kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji kwenye maonyesho la biashara ya Milan, Italia

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipeana mikono  na mmoja kati ya wafanyabiashara wa Italia huku baadhi ya wajumbe wa Tanzania wakishuhudia.  Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko wa Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, akiwasilisha taarifa inayohusu fursa za uwekezaji nchini Tanzania kwenye kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji nchini Italia. Baadhi ya washiriki wa kongamano la wafanyabiashara na wawekezaji kwenye maonyesho la biashara ya Milan Italia...

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi Seif amponda Maalim Seif

>Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,  Balozi Seif Idd ametangaza vita kwa mtu yeyote anayepanga njama za kuvuruga mchakato wa Rasimu ya Pili ya Katiba.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Msihofu

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amewaambia watumishi wa umma kuwa kura watakazopiga kwenye Uchaguzi Mkuu ni za siri na hivyo Serikali haitajua wamepigia chama gani.

 

10 years ago

Mtanzania

‘Maalim Seif ni Popo’

maalim seif sharif hamad

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad

NA MAREGESI PAUL, DODOMA

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), amemshambulia kwa maneno Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad, huku akimfananisha na popo.

Mbunge huyo alisema hayo baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, akisema lengo ni kujibu mashambulizi yaliyoelezwa kwake na...

 

9 years ago

Mwananchi

JK akutana na Maalim Seif

Rais Jakaya Kikwete jana alikutana kwa saa moja na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuzungumzia hali ya kisiasa Zanzibar.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maalim Seif amtega JK

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema kuwa wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), wanaweza kurudi bungeni iwapo Rais Jakaya Kikwete atawahakikishia kuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni Shein na Maalim Seif

Halmashauri Kuu ya CCM imempitisha Dk Ali Mohamed Shein kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang’anyiro cha urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa awamu ya pili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani