Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif akutana na ujumbe wa baraza la wafanyabiashara wa Uturuki

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na ujumbe wa baraza la wafanyabiashara waUturuki,uliofika ofisini kwake Migombani kwa ajili ya mazungumzo ya kuendeleza biashara kati ya Zanzibar na Uturuki. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na mwenyekiti wa baraza la wafanyabiashara wa Uturuki na Tanzania Atakan Giray, Ofisini kwake Migombani. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAALIM SEIF ZIARANI UTURUKI

Baadhi ya viongozi wa jumuiya za watembezaji watalii nchini Uturuki, wakimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad (hayupo pichani) walipokutana naye kwa mazungumzo mjini Istanbul nchini Uturuki. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa jumuiya za watembezaji watalii nchini… ...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ZIARANI NCHINI UTURUKI

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewasili nchini Uturuki kwa ziara ya siku tatu ya kiserikali.
Ziara hiyo inafuatia mwaliko rasmi wa serikali ya Uturuki kupitia kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo  Mhe. Ahmet Davutoglu.
Kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa mjini Istanbul, Maalim Seif alipokelewa na Waziri wa Mambo ya nje wa nchi hiyo Mhe. Mevlut Cavusoglu.
Mbali ya kufanya mazungumzo na mwenyeji wake ambaye ni Waziri Mkuu wa Uturuki, Makamu wa Kwanza wa Rais wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UTURUKI

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akiweka sahihi kwenye kitabu cha wageni mashuhuri baada ya kufika kwenye jumba la makumbusho la Melvana nchini Uturuki. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akipata maelezo ndani ya jumba hilo. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea sehemu ya jumba hilo la makumbusho. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea hospitali...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif kuwawekea mazingira bora wafanyabiashara

Mgombea urais wa Zanzibar wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wananchi na wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa kampeni uliyofanyika kwenye uwanja wa Kwageji, Bububu Unguaj. Na Hassan Hamad, OMKR Sunday, October 18, 2015 […]

The post Maalim Seif kuwawekea mazingira bora wafanyabiashara appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

JK akutana na Maalim Seif

Rais Jakaya Kikwete jana alikutana kwa saa moja na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuzungumzia hali ya kisiasa Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

UHISPANIA NA UTURUKI WACHUANA VIKALI NAFASI YA UJUMBE USIO WA KUDUMU WA BARAZA KUU LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA

Na Mwandishi Maalum, New York Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa , jana Alhamisi waliwapigia kura ya siri wajumbe watano wasio wa kudumu watakaojiunga na Baraza Kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa kuanzia January Mosi 2015.  Mataifa yaliyokuwa yanawania nafasi hizo kwa kuzingatia mgawanyo wa Kikanda ni nafasi moja kutoka nchi za Afrika, ambayo kwa sasa inashikiliwa na Rwanda, nafasi moja kwa kundi la nchi za Asia na Pacific ambayo kwa sasa inashikiliwa na Jamhuri ya...

 

9 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AKUTANA NA MASHEIKH



  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na Viongozi wa Taasisi za Kiislamu katika ukumbi wa Baitul-Yamin, Malindi mjini Zanzibar. Baadhi ya Viongozi wa Taasisi za Kiislamu Zanzibar wakimsikiliza Maalim Seif.(Picha na Salmin Said, OMKR)
Na: Hassan Hamad, OMKR.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameahidi kushirikiana na taasisi zote za dini nchini sambamba na...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AKUTANA NA BODI YA WAASISI

Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Kanali mstaafu Kabenga Nsa Kaisi, akimkabidhi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, sheria namba 18 ya mwaka 2004 ya kuwaenzi waasisi wa Taifa. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Kanali mstaafu Kabenga Nsa Kaisi nyumbani kwake Mbweni, huku wajumbe wengine wakishuhudia. Makamu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kikwete akutana na Maalim Seif wa Zanzibar

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amezungumza na makamu wa rais wa Zanzibar ambaye ndiye mgombea Urais kupitia tiketi ya CUF, Maalim Seif

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani