Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


maalumu kwa watoto: Ubongo Kids Webisode 1 - Heka Heka za Panya

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maisha ya kulea watoto na heka heka nyingine mitaani london

Moja ya mambo mazuri, makubwa yaliyofanywa na viongozi wa sasa Tanzania ni jitihada zake Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe kurekebisha usafiri jijini Dar es Salaam. Siyo tu kwamba Dk Mwakyembe na wizara yake walifufua usafiri wa magari moshi jijini, bali pia wamesaidia ajira kwa mamia ya vijana.

 

10 years ago

Vijimambo

HEKA HEKA SERIKALI ZA MITAA KAHAMA CHADEMA YAWEKEWA PINGAMIZI MTAA WA IGOMELO

 Hii ndiyo nyumba ambayo mgombea nafasi ya mwenyekiti  wa mtaa  wa  igomelo Augustino mabula ajambo ambola mgombea wa ccm Ramadhani Morisi amepiga ya kuwa siyo mkazi wa eneo hilo .  Baadhi ya wajumbe wa vyama vya ccm na chadema wakiwa eneo la makazi ya mgombea nafasi ya serikali za mtaa wa igomela. Mwenye kuonyesha mkono moja ya mkazi wa maeneo hayo akijalibu kuonyesha hali hali ya wajumbe wa vya hivyo ukweli wa jambo hilo. Mtendaji wa kata ya Malunga Cosmas Bukango alionyesha mkono juu ya...

 

9 years ago

Michuzi

HEKA HEKA ZA SIKUKUU YA XMASS NA MWAKA MPYA NDANI YA SOKO LA KARIAKOO JIJINI DAR

  Wananchi kutoka ndani na nje ya jiji la Dar es Salaam wakiwa katika soko Kuu la Kariako,katika maandalinzi ya Sikukuuu ya X-mass na Mwaka mpya pichani kama walivyonaswa na Camera ya Globu ya Jamii mapema jana jioni.Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii.  Sehemu ya Umati wa watu ndani ya soko la Kariakoo katika harakati za maandalizi ya sikukuu ya Xmass na Mwaka mpya. Kila mmoja na heka heka zake za maandalizi ya Sikukuu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Heka heka za uchaguzi Msumbiji

Wapiga kura nchini Mozambique wanaendelea na shughuli ya kumchagua rais rais mpya na wabunge.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani