Maambukizi VVU Kinondoni yazidi kitaifa
MAAMBUKIZI ya ugonjwa wa ukimwi (VVU) katika Manispaa ya Kinondoni yanaelezwa kuongezeka kutoka asilimia 5.6 na kufikia 6.8 kiwango ambacho kimezidi kile cha kitaifa. Hayo yalisemwa na Mratibu wa Kudhibiti...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Maambukizi VVU yapungua
MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi (VVU), kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kwa asilimia 90. Imeelezwa. Hayo yalisemwa na Meneja wa shirika la EGPAF Mkoa wa Tabora, Dk. Alphaxard...
10 years ago
Mwananchi08 Jan
KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU.
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Maambukizi ya VVU yapungua
TANZANIA imefanikiwa kupunguza viwango vya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kutoka asilimia 26 mwaka 2009 hadi kufikia asilimia 15 mwaka 2012. Hayo...
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
Tohara inapunguza maambukizi ya VVU
TAFITI kutoka nchi nyingi duniani zimebaini kwamba tohara kwa wanaume inapunguza maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa asilimia 60 kwa wanaume na asilimia 44 kwa wanawake. Pia imebaini kwamba...
11 years ago
Tanzania Daima11 Jun
Maambukizi ya VVU yaongezeka Moshi
MAAMBUKIZI ya virusi vya ukimwi (VVU) katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro yameongezeka mara dufu kutoka asilimia 1.2 mwaka 2012 hadi asilimia 2.1 mwaka 2013. Takwimu hizo...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Maambukizi ya VVU Katavi yaongezeka
KIWANGO cha maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) mkoani Katavi, yameongezeka na kufikia asilimia 5.9 ikilinganishwa na asilimia 5.1 ya maambukizi ya VVU kitaifa. Taarifa hiyo ilitolewa mjini hapa jana...
11 years ago
Mwananchi04 May
Maambukizi ya VVU yaongezeka migodini
10 years ago
MichuziWatoto 130000 Wanaishi na Maambukizi ya VVU.
TAKWIMU zinaonesha kwamba watoto 130000 wana maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI (VVU) kati ya hao 39317 wamefikiwa na kupatiwa huduma ya dawa za kupunguza makali ya virusi hivyo.
Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dkt. Pindi Chana wakati akifungua kongamano la nne la kitaifa la VVU na UKIMWI kwa watoto linalofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere uliopo jijini Dar-es-salaam.
Dkt . Chana alisema...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Maambukizi ya VVU kwa wajawazito yapungua
MAAMBUKIZI ya virusi vya ukimwi (VVU) kwa wajawazito yamepungua kutoka asilimia 3 hadi 2.3. Hayo yamebainishwa na Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la EGPAF Mkoa wa Tabora, Alphaxard Lwitakubi, alipozungumza...