MAAMBUKIZI YA VVU JIJINI DAR ES SALAAM YAPUNGUA
![](http://3.bp.blogspot.com/-iebuUbVC__E/U6Fwg6GoS3I/AAAAAAAFrec/mgUW1tTvl04/s72-c/Pix+-1.jpg)
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es salaam Bi. Terezia Mmbando (kulia) akitoa taarifa ya hali ya maambukizi ya VVU na Ukimwi katika jiji la Dar es salaam kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) Dkt. Fatma Mrisho alipotembelea maeneo mbalimbali ya jiji hilo kuangalia hatua zilizofikiwa katika kupambana na ugonjwa huo katika ziara yake ya siku nne.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala Bw. Raymond Mushi akitoa tathmini ya hali ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Maambukizi ya VVU yapungua
TANZANIA imefanikiwa kupunguza viwango vya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kutoka asilimia 26 mwaka 2009 hadi kufikia asilimia 15 mwaka 2012. Hayo...
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Maambukizi VVU yapungua
MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi (VVU), kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kwa asilimia 90. Imeelezwa. Hayo yalisemwa na Meneja wa shirika la EGPAF Mkoa wa Tabora, Dk. Alphaxard...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
Maambukizi ya VVU kwa wajawazito yapungua
MAAMBUKIZI ya virusi vya ukimwi (VVU) kwa wajawazito yamepungua kutoka asilimia 3 hadi 2.3. Hayo yamebainishwa na Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la EGPAF Mkoa wa Tabora, Alphaxard Lwitakubi, alipozungumza...
9 years ago
Habarileo02 Dec
Maambukizi VVU kwa wajawazito Dodoma yapungua
KIWANGO cha maambukizi ya virusi vya Ukimwi kwa wajawazito mkoani hapa kimeshuka kutoka asilimia 1.9 mwaka jana hadi kufikia asilimia 1.3 mwaka huu.
9 years ago
Mwananchi22 Sep
Dar yashika nafasi ya sita maambukizi ya VVU Afrika
9 years ago
VijimamboVIONGOZI WA KIDINI KUTOKA NCHI 17 ZA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM KUJADILI MIKAKATI YA KUMALIZAMA AMBUKIZI MAPYA YA VVU/UKIMWI
11 years ago
Habarileo22 May
Maambukizi ya malaria yapungua
WAKATI Serikali ikijiandaa kuanza majaribio ya kiwanda cha mradi wa dawa za kuua viluwiluwi cha Kibaha mkoani Pwani, maambukizi ya malaria nchini yamepungua kwa zaidi ya asilimia 47.
9 years ago
BBCSwahili17 Sep
Maambukizi ya malaria yapungua Afrika
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Yx6pQStxG0E/U9-SsVrvWxI/AAAAAAAF9BY/XvdeXsYu4O0/s72-c/lukuviiii.jpg)
MAAMBUKIZI YA UKIMWI NCHINI YAPUNGUA KWA ASILIMIA 33
![](http://1.bp.blogspot.com/-Yx6pQStxG0E/U9-SsVrvWxI/AAAAAAAF9BY/XvdeXsYu4O0/s1600/lukuviiii.jpg)
Na Rose Masaka na Lorietha Laurence-MAELEZO
TANZANIA ni miongoni mwa Nchi ambazo zimeweza kupunguza maambuzi ya ugonjwa wa Ukimwi kwa asilimia 33.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. William Lukuvi wakati akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu Mkutano wa 20 wa Kimataifa wa Ukimwi Duniani uliofanyika Melbourne nchini Australia Julai mwaka huu.
Amesema kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya Serikali kuanza zoezi la kuzuia maambukizi kutoka kwa mama...