Maana ya Krismasi kwa Vanesa Mdee
Vanesa Mdee, mwanamuziki maarufu wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania anasherehekea vipi sikukuu ya Krismasi mwaka huu?
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLHONGERA BAYPORT: JICHO LENU KWA ALBINO LINA MAANA KWA TAIFA
Meneja Mauzo wa Bayport, Lugano Kasambala (kulia) akitoa mchango na pole kwa Ester Jonas. SIKU chache zimepita kama nilipata kusikia maneno ya busara kutoka kwa Meneja Mauzo wa Bayport Financial Services Kanda ya Ziwa, Lugano Kasambala. Mkuu huyo wa taasisi hiyo inayojihusisha na mikopo hapa nchini alizungumzia kwa kina vita dhidi ya mauaji ya Albino inayoendelea kushika kasi hapa nchini. Kasambala alikoleza kile...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ms8DUhKHkW8/U3I5FpCdDfI/AAAAAAACg6U/wkiVSdYxuuE/s72-c/Girl.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Magoti kwa Manji yana maana gani?
GUMZO kubwa katika medani ya soka ndani ya wiki iliyopita ni hatua ya baadhi ya wanachama wa klabu ya Yanga, wakiongozwa na Bakili Makele, kumwomba Mwenyekiti wao, Yusuf Manji abatilishe...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPsdFe2QDaVTy9Plnw6rQNsXynDlF1IsvClGsjlcFq5-x3Ir6RPKAxqRgVuugw*upUTWtPW1qDP8--JmFj4jEVR1/BARUANZITO.jpg)
MNAOCHUKIA HAINA MAANA, KUBALINI KUJIFUNZA KWA DIAMOND!
KWENU,
Wasanii wote wa Tanzania. Hongereni kwa kazi na namna mnavyojituma kupitia sanaa zenu. Ni jambo zuri tena la kujivunia maana mmetambua vipaji vilivyo ndani yenu na kuvitumia kujipatia riziki. Kwa upande wangu, naendelea vizuri. Nawatakia heri wasanii wote Waislam walio kwenye funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhan. Ni mwezi ambao kwa hakika, tunahitaji kuwa na subira na utulivu wa hali ya juu. Nimeona ni vyema leo...
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Kwa hiyo Copa Coca Cola haina maana?
Ni matumaini yangu kila mmoja anadunda na shughuli za kila siku hasa baada ya mchakamchaka wa mwishoni mwa wiki.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iJVROLF4NIttQFVgam8gkM-KaQkp5rX*JiZjqeiMRvIhR8aztMNO4TDzKx6j3R-iVOhhaGOOTof9KfArs4LXwnPWQNx2IDVJ/yolandaspivey_blackwomanpretendstobewhitetogetjob1.jpg?width=650)
MWAKA 2014 UNAISHIA NA HUJAFANYA CHA MAANA, WHY? KWA NINI?
Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa upendo aliouonesha kwangu na kuniwezesha kuiona siku ya leo nikiwa mzima. Nadiriki kushukuru kwa sababu, wapo waliotamani kuiona wiki hii wakiwa wazima lakini baadhi wameshaondoka kwenye ardhi hii huku wengine wakiwa hoi mahospitalini na majumbani. Ndugu zangu, mwaka ndiyo huo unakaribia kuisha. Najua wapo wanaoumaliza wakiwa wamefanya mambo makubwa lakini pia wapo ambao mioyo yao imesinyaa kwa...
11 years ago
Mwananchi04 May
Kuna maana gani kupoteza mabilioni haya kwa Katiba?
Bado najiuliza na sipati majibu kwamba, inakuwaje tuteketeze Sh100 bilioni kutengeneza Katiba Mpya ya wananchi inayotokana na maoni ya wananchi wakati watawala walishaweka msimamo wao?
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania