Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Barnaba Ney na Vanesa Wasisitiza mawifi wajipangeeeeeee





Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ney, Barnaba, Mdee wapagawisha ‘Airtel Switch On’

WASANII nyota wa muziki nchini ambao pia ni mabalozi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, kupitia huduma mpya ya ‘Airtel Switch On’, Ney wa Mitego, Vannessa Mdee na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ney Lee: Najivunia Ney wa Mitego

MWANADADA anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya nchini Neema Agrey ‘Ney Lee’ anatarajia kuachia kazi yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Usinikatae’. Akizungumza Dar es Salaam jana...

 

9 years ago

Bongo5

Barnaba aanzisha bendi yake ‘Barnaba Classic’

Barnaba ameanzisha bendi yake mwenyewe. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa bendi yake ilikuwepo lakini sasa itakuwa na vifaa vya kisasa. “Nina bendi toka muda mrefu ila sasa hivi ndo naifanya official. Naanza kunua vifaa vyangu vya muziki au kama akitokea mtu akaninunulia sio mbaya pi,” amesema. “Bendi itakuwa ni bendi tofauti zingine zote unazozijua. Mimi […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Maana ya Krismasi kwa Vanesa Mdee

Vanesa Mdee, mwanamuziki maarufu wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania anasherehekea vipi sikukuu ya Krismasi mwaka huu?

 

11 years ago

GPL

MAWIFI WAMKERA CATHY

Stori: Gladness Mallya MSANII mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa anakerwa na tabia za mawifi kuwachukia wake za kaka zao bila sababu za msingi. Msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ Akichonga na paparazi wetu, Cathy alisema mawifi wengi huwachukia na kuwawekea vinyongo wake wa kaka zao hata kama hawajawakosea, kitu ambacho kinamkera na anaamini siyo yeye peke...

 

10 years ago

Mwananchi

Mawifi pande zote mpendane

Makalio ya sufuria hayaogopi moto; mchana inzi na usiku mbu; mawifi liwe liwalo tutaolewa tu na kaka zenu. Mpo hapo? Basi kero za nini na mlikuwa wapi wakati kaka zenu walipotutafuta, kutupenda hatimaye kutuoa? Mwakwetu, hilo ni tamko la Jamila kwao ‘mawifi’ wakorofi.

 

10 years ago

GPL

MAWIFI WAITIKISA NDOA YA CATHY

Stori: Gladness Mallya NDOA ya msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ ipo katika mtikisiko mkubwa kufuatia mawifi zake kumpenda zaidi mwanamke aliyezaa na mumewe kabla hajaolewa. Msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Chanzo makini kinasema Cathy yupo katika wakati mgumu kwani amesimama na mumewe tu na hakuna hata wifi mmoja ambaye anamkubali, bali wote wameelekeza nguvu...

 

11 years ago

GPL

AUNTY LULU AWAJIA JUU MAWIFI ZAKE

Na Hamida Hassan
MWANADADA Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amewajia juu mawifi zake ambao wamekuwa wakimtaka aachane na mpenzi wake wa sasa Mwanadada Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. aitwaye Amani kwa maelezo kuwa hawamtaki na yeye amekuwa aking’ang’ania penzi.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Aunty Lulu alisema anawashangaa mawifi zake hao wanaoshadadia amuache mpenzi wake wakati hawajui...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani