Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ney, Barnaba, Mdee wapagawisha ‘Airtel Switch On’

WASANII nyota wa muziki nchini ambao pia ni mabalozi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, kupitia huduma mpya ya ‘Airtel Switch On’, Ney wa Mitego, Vannessa Mdee na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel yaja na ‘Switch on’

KAMPUNI ya simu ya mkononi ya Airtel, imezindua huduma kabambe ya Intaneti itakayojulikana kama ‘Switch on’. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo juzi, Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel Tanzania,...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Bongo5

New Video: Vanessa Mdee & Barnaba – Siri

Barnaba na Vanessa Mdee wameachia video ya wimbo wao ‘Siri’ iliyoongozwa na Hanscana. Ni kali sana, hebu icheck hapo chini.

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Vanessa Mdee, Barnaba, Aika, Nahreel, AVID — WCD

Vanessa Mdee, Barnaba, Aika, Nahreel na AVID wameamua kuungana pamoja na kutengeneza zawadi ya pamoja ya kufungia mwaka 2014 na kuukaribisha 2015. Wimbo huu wenye dakika 2 na sekunde 43 unaitwa WCD, kwa kirefu ‘Wave. Clap.Dance’ ambao video yake imeongozwa na Hanscana.

 

10 years ago

GPL

AIRTEL KUPITIA HUDUMA YA SWITCH ON YAZINDUA OFA KAMBABE YA SIMU NA TECNO H5 MPYA‏

Kulia ni Meneja Masoko wa Airtel Bi Prisca Tembo na Meneja Biashara wa Techno bw, Marco Wang wakionyesha simu mpya ya TechoH5 iliyoingizwa sokoni ikiwa na ofa kabambe itakaowawezesha wateja wa Airtel kupata simu ya kisasa pamoja na vifurushi vya internet ya kudumu kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo
Kushoto ni Afisa Mauzo wa airtel Nizar Aladawy na Afisa Mauzo wa Techno bi, Lolinda Joshman wakionyesha simu mpya ya TechoH5...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani