MAWIFI WAMKERA CATHY
![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkwvvykJy9AlN4obeVVUjieDNv-epzOMe9*vBdA-9KswMRBXaFc-CoYpEfP0wpA7ler8lCKacMpKg5C*ulrir6f7/cathy.jpg)
Stori: Gladness Mallya MSANII mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kuwa anakerwa na tabia za mawifi kuwachukia wake za kaka zao bila sababu za msingi. Msanii mkongwe wa filamu Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ Akichonga na paparazi wetu, Cathy alisema mawifi wengi huwachukia na kuwawekea vinyongo wake wa kaka zao hata kama hawajawakosea, kitu ambacho kinamkera na anaamini siyo yeye peke...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzfFANOeWbWOckzM4Va*Ya3qjg*x8cyt92Kywt1S2kznStLXpDh0anPt1NfeFWF2o17DYXGnP1SFeFQCsZaWj4NA/cathy.jpg)
MAWIFI WAITIKISA NDOA YA CATHY
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Mawifi pande zote mpendane
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYnoISGJbYiKvdo5*grtT05k88oJLOU3wmp7k6osOFUqyNvK3wnr89H8R3D*UJQktO-RqWk0fxme86vHAwQ2XQ3e/mwanzo.jpg?width=650)
AUNTY LULU AWAJIA JUU MAWIFI ZAKE
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ms8DUhKHkW8/U3I5FpCdDfI/AAAAAAACg6U/wkiVSdYxuuE/s72-c/Girl.jpg)
11 years ago
GPLWEMA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE, AITA WAKWE, MAWIFI ZAKE
10 years ago
Habarileo02 Oct
Maaskofu wamkera Sitta
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amesema ataendelea kudharau baadhi ya maaskofu, kama wataendelea kutoa maagizo ya kisiasa. Akizungumza bungeni kuhusu jitihada zilizofanyika ndani na nje ya Bunge Maalumu la Katiba, ili Katiba Inayopendekezwa isipatikane, Sitta alisema ni pamoja na baadhi ya maaskofu kuandaa waraka wa kupinga bunge hilo na kulazimisha usomwe makanisani.
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Boko Haram wamkera Mwinyi
RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi, amesema anasikitishwa na kitendo cha kundi la Boko Haram la nchini Nigeria kuendelea kuua watu wasio na hatia na kusingizia kuwa...
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://3.bp.blogspot.com/-uFTMOXviCC8/U8flEDt9XpI/AAAAAAAABYM/y0thDH2gSx0/s72-c/Unknown.jpeg)
Mlundikano wa kesi wamkera waziri
NA RACHEL KYALA
VITUO vinavyotoa msaada wa kisheria nchini vimetakiwa kupanua wigo wa huduma, ili kuzinusuru mahakama na tatizo la mlundikano wa kesi.
![](http://3.bp.blogspot.com/-uFTMOXviCC8/U8flEDt9XpI/AAAAAAAABYM/y0thDH2gSx0/s1600/Unknown.jpeg)
Huduma hizo ni pamoja na kutoa usuluhishi ili mashauri yaishie nje ya mahakama.
Alisema hivi sasa mahakama zimekuwa na mlundikano mkubwa wa kesi, ambazo nyingine zingewezwa na wataalam wa sheria katika vituo hivyo.
Mbali na usuluhishi, vilevile vimetakiwa kuwa na maofisa ustawi wa jamii watakaokuwa wanatoaushauri nasaha licha ya msaada wa...
10 years ago
Mtanzania28 Jan
Mashabiki wamkera Ommy Dimpoz
NA JUMA HEZRON, TSJ
MSANII wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema anachukizwa na tabia ya mashabiki ambao wamekuwa wakifanya fujo kwenye shoo mbalimbali za wasanii.
Akizungumza na MTANZANIA leo, Ommy Dimpoz alisema kitendo hicho siyo cha kiungwana, mashabiki wamekuwa wakikosea na kuwavunjia heshima wasanii.
“Mashabiki wanatuogopesha, imekuwa kama jambo la kawaida kutufanyia vurugu na kusahau kuwa tunafanya shoo ili kuwapa burudani,” alisema Ommy Dimpoz.
Alisema mashabiki na...