Mlundikano wa kesi wamkera waziri
![](http://3.bp.blogspot.com/-uFTMOXviCC8/U8flEDt9XpI/AAAAAAAABYM/y0thDH2gSx0/s72-c/Unknown.jpeg)
NA RACHEL KYALA
VITUO vinavyotoa msaada wa kisheria nchini vimetakiwa kupanua wigo wa huduma, ili kuzinusuru mahakama na tatizo la mlundikano wa kesi.
Huduma hizo ni pamoja na kutoa usuluhishi ili mashauri yaishie nje ya mahakama.
Alisema hivi sasa mahakama zimekuwa na mlundikano mkubwa wa kesi, ambazo nyingine zingewezwa na wataalam wa sheria katika vituo hivyo.
Mbali na usuluhishi, vilevile vimetakiwa kuwa na maofisa ustawi wa jamii watakaokuwa wanatoaushauri nasaha licha ya msaada wa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo13 May
Mahakama kuondoa mlundikano wa kesi
JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema Mahakama imejipanga kuondoa tatizo la mlundikano wa mashauri ya muda mrefu ndani ya miezi 18 ijayo.
11 years ago
Mwananchi25 May
Usambazaji wa sukari Mbeya wamkera Waziri wa Kilimo
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Kero mlundikano wa mizigo bandarini mbioni kumalizwa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hlBnt738bkwvvykJy9AlN4obeVVUjieDNv-epzOMe9*vBdA-9KswMRBXaFc-CoYpEfP0wpA7ler8lCKacMpKg5C*ulrir6f7/cathy.jpg)
MAWIFI WAMKERA CATHY
10 years ago
Habarileo02 Oct
Maaskofu wamkera Sitta
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amesema ataendelea kudharau baadhi ya maaskofu, kama wataendelea kutoa maagizo ya kisiasa. Akizungumza bungeni kuhusu jitihada zilizofanyika ndani na nje ya Bunge Maalumu la Katiba, ili Katiba Inayopendekezwa isipatikane, Sitta alisema ni pamoja na baadhi ya maaskofu kuandaa waraka wa kupinga bunge hilo na kulazimisha usomwe makanisani.
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Waziri Maghembe ajumuishwa kwenye kesi
10 years ago
Tanzania Daima17 Aug
Boko Haram wamkera Mwinyi
RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi, amesema anasikitishwa na kitendo cha kundi la Boko Haram la nchini Nigeria kuendelea kuua watu wasio na hatia na kusingizia kuwa...
10 years ago
Mwananchi02 Sep
Uhaba wa mabao wamkera Maximo
10 years ago
Mtanzania28 Jan
Mashabiki wamkera Ommy Dimpoz
NA JUMA HEZRON, TSJ
MSANII wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema anachukizwa na tabia ya mashabiki ambao wamekuwa wakifanya fujo kwenye shoo mbalimbali za wasanii.
Akizungumza na MTANZANIA leo, Ommy Dimpoz alisema kitendo hicho siyo cha kiungwana, mashabiki wamekuwa wakikosea na kuwavunjia heshima wasanii.
“Mashabiki wanatuogopesha, imekuwa kama jambo la kawaida kutufanyia vurugu na kusahau kuwa tunafanya shoo ili kuwapa burudani,” alisema Ommy Dimpoz.
Alisema mashabiki na...