Kero mlundikano wa mizigo bandarini mbioni kumalizwa
Tatizo la mlundikano wa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam liko mbioni kupatiwa ufumbuzi baada ya Kampuni inayoendesha kitengo cha makontena ya Ticts kuagiza mitambo mipya ya kupakia na kupakua.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 Dec
Mzozo Escrow kumalizwa J3
SAKATA la utoaji wa Sh bilioni 182.7 katika iliyokuwa akaunti ya Escrow katika Benki Kuu wa Tanzania (BoT), lililonguruma ndani ya Bunge na kuendelea nje tangu mwanzoni mwa Novemba mwaka huu, linatarajiwa kupewa majibu ya kina Jumatatu ijayo.
11 years ago
Uhuru Newspaper
Mlundikano wa kesi wamkera waziri
NA RACHEL KYALA
VITUO vinavyotoa msaada wa kisheria nchini vimetakiwa kupanua wigo wa huduma, ili kuzinusuru mahakama na tatizo la mlundikano wa kesi.

Huduma hizo ni pamoja na kutoa usuluhishi ili mashauri yaishie nje ya mahakama.
Alisema hivi sasa mahakama zimekuwa na mlundikano mkubwa wa kesi, ambazo nyingine zingewezwa na wataalam wa sheria katika vituo hivyo.
Mbali na usuluhishi, vilevile vimetakiwa kuwa na maofisa ustawi wa jamii watakaokuwa wanatoaushauri nasaha licha ya msaada wa...
11 years ago
Habarileo13 May
Mahakama kuondoa mlundikano wa kesi
JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande, amesema Mahakama imejipanga kuondoa tatizo la mlundikano wa mashauri ya muda mrefu ndani ya miezi 18 ijayo.
10 years ago
Vijimambo
USAFIRSHAJII MIZIGO DAR NA ZANZIBARUSAFIRSHAJII MIZIGO DAR NA ZANZIBAR

9 years ago
Habarileo06 Dec
Hofu bandarini
MAJINA ya watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), waliohusika kutoa makontena 2,431 bila kulipa ushuru kati ya Machi hadi Septemba 2014 katika Bandari ya Dar es Salaam, yamepatikana na kufikishwa kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Uingizaji shehena waongezeka bandarini
UINGIZAJI wa shehena katika bandari za mamlaka umeongezeka kutoka tani 1.185 wakati wa uhuru mwaka 1961 hadi kufikia tani 13,500 mwaka jana. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana na...
10 years ago
Habarileo30 Mar
TPA kuimarisha huduma bandarini
UONGOZI wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), umeelezea nia yake ya kuzidi kuboresha Bandari ya Dar es Salaam na kuifanya kuwa lango kuu la kupitisha mizigo kwa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini.
11 years ago
BBCSwahili30 Jun
Urasimu bandarini Mombasa kushughulikiwa
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Mwakyembe, bandarini hapako vizuri