Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzozo Escrow kumalizwa J3

Rais Jakaya Kikwete.SAKATA la utoaji wa Sh bilioni 182.7 katika iliyokuwa akaunti ya Escrow katika Benki Kuu wa Tanzania (BoT), lililonguruma ndani ya Bunge na kuendelea nje tangu mwanzoni mwa Novemba mwaka huu, linatarajiwa kupewa majibu ya kina Jumatatu ijayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kero mlundikano wa mizigo bandarini mbioni kumalizwa

Tatizo la mlundikano wa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam liko mbioni kupatiwa ufumbuzi baada ya Kampuni inayoendesha kitengo cha makontena ya Ticts kuagiza mitambo mipya ya kupakia na kupakua.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mzozo wa Sudan kusini

Viongozi wa pande zinazopingana Sudan, hawajaunda serikali ya mpito katika kipindi cha siku 90 kama ilivyokubaliwa mwezi wa 8.

 

10 years ago

GPL

DIAMOND, PENNY MZOZO UPYA

WAANDISHI WETU/Amani11
IMEVUJA! Ile mimba ya aliyekuwa Mtangazaji wa Efm Radio, Penieli Mungilwa ‘Penny’ ambayo ilijulikana alipachikwa na staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ imezua mzozo upya baada ya kuvuja kwa madai mengine. Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Chanzo makini kimeliambia Amani kwamba, tofauti na madai ya Diamond kwamba Penny alitoa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Nigeria yakumbwa na mzozo wa mafuta

Misururu mirefu imeonekana kwenye vituo vya uuzaji mafuta nchini Nigeria,kutokana na sababu ya kuwepo mgawanyiko baina ya serikali na waagizaji.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mzozo wa kidiplomasia watokota Indonesia

Serikali ya Indonesia itatekeleza adhabu ya kifo kwa washukiwa kadhaa wa ulanguzi wa dawa za kulevya nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Suluhu kwa mzozo wa Crimea.

Obama ameitaka Urusi kujua kwamba haitapata usalama na maendeleo kupitia njia ya dhulma baada ya kunyakua jimbo la Crimea.

 

11 years ago

Mtanzania

Mzozo waibuka familia ya Mandela

Mke wa zamani wa Nelson Mandela, Winnie Mandela

Mke wa zamani wa Nelson Mandela, Winnie Mandela

Mwandishi Wetu na Mashirika ya habari

MTALIKI wa Rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Winnie Mandela ameibuka na kutaka watoto wake wapewe nyumba yake iliyoko kijijini Qunu.

Hatua yake hiyo huenda ikazua mgogoro wa kwanza wa kisheria kuhusiana na mali za Nelson Mandela tangu alipoaga dunia mwaka jana.

Mawakili wa Winnie Madikizela-Mandela wamesema kudai nyumba hiyo ni haki yake ya kiutamaduni kwa vile aliwahi kuwa mke wa marehemu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi wajadili mzozo wa Burundi

Viongozi wa jumuiya ya Afrika mashariki wanajadili na kuwasilisha mapendekezo ya ripoti kuhusu mzozo wa kisiasa Burundi

 

9 years ago

BBCSwahili

Mzozo wa wahamiaji kutawala mkutano wa EU

Ujerumani na mataifa mengine yatashauriana na Uturuki jinsi ya kuwapa makao maelfu ya wakimbizi wa Syria kabla ya mkutano wa mwisho wa mwaka wa viongozi wa mataifa wa Umoja wa Ulaya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani