Viongozi wajadili mzozo wa Burundi
Viongozi wa jumuiya ya Afrika mashariki wanajadili na kuwasilisha mapendekezo ya ripoti kuhusu mzozo wa kisiasa Burundi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Mpatanishi wa mzozo wa Burundi ajiondoa
Umoja wa mataifa umesema mjumbe wake maalum katika eneo la maziwa makuu hataendelea tena kuwa mpatanishi katika mzozo wa Burundi.
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Magufuli amwagiza Mahiga kutatua mzozo wa Burundi
Rais John Magufuli amemwagiza Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Kikanda na Mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Dk Augustine Mahiga kuanza kushughulikia mgogoro wa Burundi na ametaka kazi hiyo afanye kwa kushirikiana na waziri wengine kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
10 years ago
BBCSwahili26 Jun
Viongozi wa EU wajadili wahamiaji
Viongozi wa nchi za ulaya wanakutana jijini Brussels kujadili namna ya kupambana na wimbi la wahamiaji
10 years ago
BBCSwahili02 Sep
Viongozi wa AU wajadili usalama Kenya
Viongozi wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika wanakutana mjini Nairobi,nchini Kenya kujadili usalama barani
10 years ago
MichuziNEC NA VIONGOZI WA VYAMA VYASIASA ,WAJADILI MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS,WABUNGE NA MADIWANI
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Jaji Mstaafu Damiani Lubuva akizungumza wakati wa mkuato wa kujadili maadili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani katika mkutano uliofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo. Mkurugenzi wa uchaguzi, Julius Mallaba akizungumza leo katika mkutano wa kujadili maadili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani katika mkutano uliofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo. Baadhi ya viongozi wa vyombo vya siasa wakifuatilia kwa umakini katika...
5 years ago
BBCSwahili20 May
Virusi vya corona: Marais wa Tanzania na Kenya wawataka viongozi wa nchi zao kutatua mzozo wa mpaka
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amesema Corona haikuanzia Afrika hivyo haipaswi kuwa chanzo cha kutoelewana kati ya nchi za Kenya na Tanzania, na kwamba nchi zote zinahitaji biashara.
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
‘Viongozi wa mapinduzi’ Burundi washtakiwa
Waziri wa zamani wa ulinzi nchini Burundi Cyrille Ndayirukiye amefikishwa kortini akishtakiwa kupanga mapinduzi dhidi ya serikali ya Rais Pierre Nkurunziza.
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Kagame awashutumu viongozi wa Burundi
Rais wa Rwanda Paul Kagame ameshutumu vikali viongozi wa Burundi kutokana na mauaji ya raia na kusema yanaweza kuvutia wapenda haki kuingilia kati.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania