Mpatanishi wa mzozo wa Burundi ajiondoa
Umoja wa mataifa umesema mjumbe wake maalum katika eneo la maziwa makuu hataendelea tena kuwa mpatanishi katika mzozo wa Burundi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili06 Jul
Burundi yamkataa mpatanishi mpya
Burundi imemkataa Mwanadiplomasia wa pili aliyeteuliwa na Umoja wa mataifa kutatua mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini humo
10 years ago
BBCSwahili06 Jul
Viongozi wajadili mzozo wa Burundi
Viongozi wa jumuiya ya Afrika mashariki wanajadili na kuwasilisha mapendekezo ya ripoti kuhusu mzozo wa kisiasa Burundi
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Magufuli amwagiza Mahiga kutatua mzozo wa Burundi
Rais John Magufuli amemwagiza Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Kikanda na Mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Balozi Dk Augustine Mahiga kuanza kushughulikia mgogoro wa Burundi na ametaka kazi hiyo afanye kwa kushirikiana na waziri wengine kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Pulis ajiondoa Crystal Palace
Kocha wa Crystal Palace ya England, Tony Pulis amejiondoa katika timu hiyo baada ya makubaliano maalum na uongozi wa timu.
9 years ago
BBCSwahili11 Nov
Diack ajiondoa kamati ya Olimpiki
Rais wa zamani wa shirikisho la riadha duniani IAAF Lamine Diack amejiuzulu kutoka kwa wadhifa wake kama mwanachama wa kamati ya kimataifa ya Olimpiki IOC.
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Ebola:Mshambuliaji wa Guinea ajiondoa
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Guinea Alhassane Bangoura ameijiondoa katika kikosi kitakachokabiliana na timu ya Ghana.
11 years ago
BBCSwahili27 Jun
Mdhamini wa Luis Suarez ajiondoa
Mshambuliaji wa timu ya Uruguay Luis Suarez amempoteza mmoja wa wadhamini wake.
10 years ago
BBCSwahili19 Aug
Rafael Nadal ajiondoa US Open
Mashabiki wa Tennis watamkosa mchezaji wao mashuhuri Rafael Nadal US Open
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania