Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Viongozi wa mapinduzi’ Burundi washtakiwa

Waziri wa zamani wa ulinzi nchini Burundi Cyrille Ndayirukiye amefikishwa kortini akishtakiwa kupanga mapinduzi dhidi ya serikali ya Rais Pierre Nkurunziza.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Anglo Leasing:viongozi washtakiwa Kenya

Hatimaye viongozi waliokuwa mamlakani wakati wa kashfa ya kuchapisha pasipoti za wakenya wamefikishwa mahakamani leo

 

9 years ago

Habarileo

‘Jitokezeni kuadhimisha Mapinduzi’

RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kusherehekea maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi yanayoanza leo. Dk Shein alisema wananchi wana kila sababu za kushiriki maadhimisho hayo kwa kuwa Mapinduzi ya Januari 12, 1964 ndiyo yaliyoleta Uhuru kwa wananchi wa Unguja na Pemba kutoka kwa wakoloni.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kagame awashutumu viongozi wa Burundi

Rais wa Rwanda Paul Kagame ameshutumu vikali viongozi wa Burundi kutokana na mauaji ya raia na kusema yanaweza kuvutia wapenda haki kuingilia kati.

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi wajadili mzozo wa Burundi

Viongozi wa jumuiya ya Afrika mashariki wanajadili na kuwasilisha mapendekezo ya ripoti kuhusu mzozo wa kisiasa Burundi

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: VIONGOZI WA JARIBIO LA MAPINDUZI NCHINI BURUNDI WATIWA MBARORONI

Majenerali wawili waliotekeleza jaribio la mapinduzi nchini Burundi dhidi ya rais Pierre Nkurunziza wametiwa mbaroni baada kushidwa kwa jaribio lao hilo, huku kiongozi mkuu wa mapinduzi hayo jenerali Godefroid Niyombare akidaiwa kuingia mititi na sasa anasakwa.
Hayo yemeelezwa leo hii na Msemaji wa Rais Nkurunziza,Willy Nyamitwe.
Awali Jenerali Niyombare alikaririwa akikiambia chombo cha habari cha AFP kwamba yeye na wafuasi wake watajisalimisha kwa serikali ya Rais Nkurunziza, huku akiongezea...

 

10 years ago

GPL

VIONGOZI WAKUU EAC KUJADILI MGOGORO WA BURUNDI DAR ES SALAAM

William Samoei Ruto, Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wakuu wenzie wa EAC wakisimama kwa wimbo wa Mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Waziri wa Mashauri ya Kigeni na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa, wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wanatarajiwa kukutana hivi karibuni kwa ajili ya kujadili mgogoro wa kisiasa unaoikabili Burundi. Mh. Benard Membe ambaye ni kiongozi wa ujumbe wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Rais Kagame awapa mbinu viongozi wa Burundi kutafuta suluhu

Rais wa Rwanda Paul Kagame amewashauri raia wa Burundi kumaliza mgogoro unaoendelea nchini humo kwani hakuna mtu wa nje anayeweza kufanya hivyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waliojaribu kujiunga na IS washtakiwa

Wanaume wawili wamefikishwa mbele ya mahakama Jijini New York kwa mashtaka ya kupanga kwenda Syria ili kujiunga na is

 

10 years ago

Mwananchi

Kina Fuime washtakiwa upya

Siku chache baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuwafutia mashtaka ya mauaji ya kukusudia aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime na wenzake 11, hatimaye jana walisomewa mashtaka mengine mapya ya kuua bila ya kukusudia katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani