Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JUST IN: VIONGOZI WA JARIBIO LA MAPINDUZI NCHINI BURUNDI WATIWA MBARORONI

Majenerali wawili waliotekeleza jaribio la mapinduzi nchini Burundi dhidi ya rais Pierre Nkurunziza wametiwa mbaroni baada kushidwa kwa jaribio lao hilo, huku kiongozi mkuu wa mapinduzi hayo jenerali Godefroid Niyombare akidaiwa kuingia mititi na sasa anasakwa.
Hayo yemeelezwa leo hii na Msemaji wa Rais Nkurunziza,Willy Nyamitwe.
Awali Jenerali Niyombare alikaririwa akikiambia chombo cha habari cha AFP kwamba yeye na wafuasi wake watajisalimisha kwa serikali ya Rais Nkurunziza, huku akiongezea...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WANAJESHI WA JARIBIO LA JARIBIO LA MAPINDUZI-BURUNDI WALIVYOKAMATWA

Baadhi ya wanajeshi walioasi na kufanya jaribio la mapinduzi dhidi ya serikali ya Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi, walivyokamatwa nchini humo, wakati kiongozi wao akiendelea kusakwa na wanajeshi watiifu wa serikali ya Nkurunzinza. CREDIT: BBC SWAHILI

 

10 years ago

Habarileo

EAC yalaani jaribio mapinduzi Burundi

Rais Jakaya Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kumalizika mazungumzo ya kutafuta suluhu ya Burundi. Kutoka kushoto ni Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, Rais Paul Kagame wa Rwanda na Makamu wa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa. (Na Mpigapicha Wetu).WAKUU wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamelaani jaribio la mapinduzi ya kumng’oa Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi na kutaka Katiba ya nchi hiyo ifuatwe ili kudumisha amani na utulivu nchini humo.

 

10 years ago

Africanjam.Com

MAJAMBAZI WATIWA NGUVUNI BAADA YA KUFANYA JARIBIO LA KUIBA BENKI

Majambazi wakiwa wametiwa pingu baada ya kukamatwa na jeshi laPolisi jijini Dar baada ya kufanya jaribio la kuiba pesa kwenye benki ya NMB Sinza Mori. Pembeni ni wananchi wakiwa eneo la Benki ya NMB Sinza-Mori, Dar wakifuatilia tukio hilo. Polisi jijini Dar wamewakamata watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa katika jaribio la kuiba pesa katika benki ya NMB iliyopo Sinza-Mori, Dar es Salaam.Tukio hilo limetokea mchana wa leo tarehe 18/09/2015 katika Benki ya NMB tawi la Sinza-Mori jijini...

 

11 years ago

BBCSwahili

Jaribio la mapinduzi latibuliwa Sudan.K

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, anasema vikosi vyake vimefanikiwa kutibua jaribio la mapinduzi, baada ya usiku mzima wa mapigano katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba.

 

9 years ago

BBCSwahili

Jaribio la mapinduzi latibuliwa Niger

Rais wa Niger Mahamadou Issoufou amesema serikali yake imetibua njama ya kupindua serikali.

 

11 years ago

BBCSwahili

Machar: Sihusiki na jaribio la Mapinduzi

Aliyekuwa makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar amekataa madai kuwa amehusika katika jaribio la mapinduzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

''MAPINDUZI BURUNDI''

Makundi hasimu ya askari yanakabiliana katikati mwa mji mkuu wa Burundi- Bujumbura,

 

10 years ago

BBCSwahili

MAPINDUZI YAFELI BURUNDI

Majenerali wawili waliotekeleza jaribio la mapinduzi nchini Burundi dhidi ya rais Pierre Nkurunziza wamekamatwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mapinduzi yaliofeli Burundi

Hali ilivyokuwa mjini Bujumbura nchini Burundi siku ya alhamisi kufuatia jaribio la mapinduzi lililotekelkezwa na wanajeshi waasi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani