Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Machar: Sihusiki na jaribio la Mapinduzi

Aliyekuwa makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar amekataa madai kuwa amehusika katika jaribio la mapinduzi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WANAJESHI WA JARIBIO LA JARIBIO LA MAPINDUZI-BURUNDI WALIVYOKAMATWA

Baadhi ya wanajeshi walioasi na kufanya jaribio la mapinduzi dhidi ya serikali ya Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi, walivyokamatwa nchini humo, wakati kiongozi wao akiendelea kusakwa na wanajeshi watiifu wa serikali ya Nkurunzinza. CREDIT: BBC SWAHILI

 

11 years ago

BBCSwahili

Jaribio la mapinduzi latibuliwa Sudan.K

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, anasema vikosi vyake vimefanikiwa kutibua jaribio la mapinduzi, baada ya usiku mzima wa mapigano katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba.

 

9 years ago

BBCSwahili

Jaribio la mapinduzi latibuliwa Niger

Rais wa Niger Mahamadou Issoufou amesema serikali yake imetibua njama ya kupindua serikali.

 

10 years ago

Habarileo

EAC yalaani jaribio mapinduzi Burundi

Rais Jakaya Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kumalizika mazungumzo ya kutafuta suluhu ya Burundi. Kutoka kushoto ni Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, Rais Paul Kagame wa Rwanda na Makamu wa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa. (Na Mpigapicha Wetu).WAKUU wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamelaani jaribio la mapinduzi ya kumng’oa Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi na kutaka Katiba ya nchi hiyo ifuatwe ili kudumisha amani na utulivu nchini humo.

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: VIONGOZI WA JARIBIO LA MAPINDUZI NCHINI BURUNDI WATIWA MBARORONI

Majenerali wawili waliotekeleza jaribio la mapinduzi nchini Burundi dhidi ya rais Pierre Nkurunziza wametiwa mbaroni baada kushidwa kwa jaribio lao hilo, huku kiongozi mkuu wa mapinduzi hayo jenerali Godefroid Niyombare akidaiwa kuingia mititi na sasa anasakwa.
Hayo yemeelezwa leo hii na Msemaji wa Rais Nkurunziza,Willy Nyamitwe.
Awali Jenerali Niyombare alikaririwa akikiambia chombo cha habari cha AFP kwamba yeye na wafuasi wake watajisalimisha kwa serikali ya Rais Nkurunziza, huku akiongezea...

 

9 years ago

Mtanzania

JK: Sihusiki na ufisadi TRA

jk*Asema hajawahi kuagiza mfanyabiashara yeyote asamehewe kulipa kodi
*Aikingia kifua familia yake, awashukia wanaomtuhumu

NA FREDY AZZAH, DAR ES SALAAM
RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amevunja ukimya na kusema hausiki yeye wala familia yake katika ukwepaji kodi kwa kutorosha makontena bandarini.

Pamoja na hali hiyo, amesema kuwa hajawahi katika utawala wake kuagiza mtu yeyote anayestahili kulipa kodi asilipe na wala haamini kwamba kuna mtu kwenye familia yake anaweza kufanya...

 

9 years ago

Mwananchi

Kikwete: Sihusiki na ukwepaji kodi

Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ameeleza kushangazwa kwake na watu wanaomtuhumu kupitia  vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa anahusika na ukwepaji kodi ya makontena alipokuwa madarakani.

 

10 years ago

Bongo5

Nikki Mbishi f/ Walter Chilambo — Sihusiki Nao

Ngoma mpya ya Nikki Mbishi aliyomshirikisha Walter Chilambo ‘Sihusiki Nao’. Imetayarishwa na J-Ryder wa Tongwe Records.

 

10 years ago

GPL

HALIMA KIMWANA: SIHUSIKI UHUSIANO WA DIAMOND NA ZARI

Mdada wa mjini ambaye ni dada wa hiyari wa msanii, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Halima Kimwana amedai kuwa hahusiki na uhusiano unaoendelea kati ya kaka yake huyo na mrembo kutoka Uganda, Zari. Dada wa hiyari wa msanii, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Halima Kimwana akipozi naye.. Akizungumza na waandishi wetu, Halima alisema kuwa hawezi kuzungumzia suala lolote la Diamond na uhusiano wake na Zari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani