Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAJESHI WA JARIBIO LA JARIBIO LA MAPINDUZI-BURUNDI WALIVYOKAMATWA

Baadhi ya wanajeshi walioasi na kufanya jaribio la mapinduzi dhidi ya serikali ya Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi, walivyokamatwa nchini humo, wakati kiongozi wao akiendelea kusakwa na wanajeshi watiifu wa serikali ya Nkurunzinza. CREDIT: BBC SWAHILI

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

EAC yalaani jaribio mapinduzi Burundi

Rais Jakaya Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana baada ya kumalizika mazungumzo ya kutafuta suluhu ya Burundi. Kutoka kushoto ni Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, Rais Paul Kagame wa Rwanda na Makamu wa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa. (Na Mpigapicha Wetu).WAKUU wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamelaani jaribio la mapinduzi ya kumng’oa Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi na kutaka Katiba ya nchi hiyo ifuatwe ili kudumisha amani na utulivu nchini humo.

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: VIONGOZI WA JARIBIO LA MAPINDUZI NCHINI BURUNDI WATIWA MBARORONI

Majenerali wawili waliotekeleza jaribio la mapinduzi nchini Burundi dhidi ya rais Pierre Nkurunziza wametiwa mbaroni baada kushidwa kwa jaribio lao hilo, huku kiongozi mkuu wa mapinduzi hayo jenerali Godefroid Niyombare akidaiwa kuingia mititi na sasa anasakwa.
Hayo yemeelezwa leo hii na Msemaji wa Rais Nkurunziza,Willy Nyamitwe.
Awali Jenerali Niyombare alikaririwa akikiambia chombo cha habari cha AFP kwamba yeye na wafuasi wake watajisalimisha kwa serikali ya Rais Nkurunziza, huku akiongezea...

 

9 years ago

BBCSwahili

Jaribio la mapinduzi latibuliwa Niger

Rais wa Niger Mahamadou Issoufou amesema serikali yake imetibua njama ya kupindua serikali.

 

11 years ago

BBCSwahili

Machar: Sihusiki na jaribio la Mapinduzi

Aliyekuwa makamu wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar amekataa madai kuwa amehusika katika jaribio la mapinduzi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jaribio la mapinduzi latibuliwa Sudan.K

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, anasema vikosi vyake vimefanikiwa kutibua jaribio la mapinduzi, baada ya usiku mzima wa mapigano katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba.

 

5 years ago

BBCSwahili

Jaribio la kombora jipya lawaua kimakosa wanajeshi 19 wa Iran Ghuba ya Oman

Wanamaji 19 walifariki wakati meli yao iliposhambuliwa wakati wa jaribio la kombora jipya

 

10 years ago

BBCSwahili

Majenerali wa mapinduzi walivyokamatwa

Baadhi ya majenarali waasi wa mapinduzi walivyokamatwa nchini Burundi baada ya jaribio la mapinduzi kugonga mwamba

 

10 years ago

Habarileo

15 mbaroni jaribio la kumtorosha Gwajima

Askofu Joseph Gwajima akiwa amelazwa katika Hospitali ya TMJ Dar es Salaam jana.JESHI la Polisi linawashikilia na kuwahoji watu 15 kwa tuhuma za kutaka kumtorosha kutoka Hospitali ya TMJ Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo jijini, Dar es Salaam, Joseph Gwajima aliyelazwa hapo tangu usiku wa kuamkia juzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

4 hatiani kwa jaribio la kumuua Nyamwasa

Wanaume 4 walioshitakiwa kwa jaribio la kumuua aliyekuwa jasusi wa Rwanda Generali Faustin Kayumba Nyamwasa wapatikana na hatia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani