Mzozo wa kidiplomasia watokota Indonesia
Serikali ya Indonesia itatekeleza adhabu ya kifo kwa washukiwa kadhaa wa ulanguzi wa dawa za kulevya nchini humo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili28 Apr
Mzozo wa kidiplomasia kati ya Kenya na Somalia
Mzozo wa kidiplomasia unanukia kati ya Kenya na Somalia baada ya polisi kumkamata kimakosa mmoja wa maafisa wakuu wa ubalozi wa Somalia nchini Kenya
11 years ago
BBCSwahili19 Feb
Juhudi za kidiplomasia kuokoa Ukraine
Wanasiasa wakuu wa kigeni, watakutana mjini Kiev siku ya Alhamisi kujaribu kusuluhisha mgogoro unaotokota nchini Ukraine.
11 years ago
BBCSwahili12 Mar
Rwanda na Afrika.K zatokota kidiplomasia
Afrika Kusini imetoa onyo kali kwa Rwanda huku mzozo wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili ukiendelea kutokota kuhusu njama ya mauaji.
10 years ago
VijimamboTANZANIA NA ECUADOR ZAANZISHA UHUSIANO WA KIDIPLOMASIA
" Wawakilishi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi wa Tanzania, na Xavier Mendoza wa Ecuador wakati wa kibadilisha hati za kuanzishwa kwa uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Balozi Tuvako Manongi na Balozi Xavier Mendoza, wakiteta jambo baada ya kusaini kwa niaba ya serikali zao, hati za kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia katika ngazi ya Mabalozi katika hafla fupi iliyofanyia siku ya Jumanne, wanaoshuhudia ni Maafisa Waandamizi, Bi.Tully...
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
Shahidi: Wasafirishaji wa Twiga hawana hadhi ya kidiplomasia
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi, Moshi imeelezwa kuwa waliosafirisha wanyama hai 130 wa aina 14 tofauti wakiwemo Twiga wanne kwenda nchi za falme za kiarabu, hawakuwa na hadhi ya kidiplomasia licha...
9 years ago
MichuziTANZANIA NA VIETNAM WASHEREHEKEA MIAKA 50 YA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda akizungumza katika hafla ya maadhimisho ya Miaka 50 ya Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Tanzania na Vietnam. Katika hotuba yake Mhe. Pinda alilishukuru Taifa la Vietnam kupitia Ubalozi wake nchini kwa kuendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania katika nyanja mbalimbali zikiwemo za kiuchumi, biashara na kidiplomasia. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Septemba 2015.Balozi wa Vietnam...
11 years ago
GPL10 years ago
MichuziSHEREHE ZA MIAKA 50 YA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA KATI YA TANZANIA NA CHINA HUKO BEIJING
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Ndugu Li Yuanchao wakati walipokutana kwenye Sherehe ya kutimiza Miaka 50 ya Uhusiano wa Kidiplomasia baina ya Tanzania na China. Sherehe hizo zilizoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini China na kufanyika jijini Beijing leo
Makamu wa Rais wa China Ndugu Li Yuanchao akigonganisha glasi ikiwa ni ishara ya kusherehekea kutimiza miaka 50 ya ushirikiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na China. Sherehe...
Makamu wa Rais wa China Ndugu Li Yuanchao akigonganisha glasi ikiwa ni ishara ya kusherehekea kutimiza miaka 50 ya ushirikiano wa kidiplomasia kati ya Tanzania na China. Sherehe...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania