Shahidi: Wasafirishaji wa Twiga hawana hadhi ya kidiplomasia
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi, Moshi imeelezwa kuwa waliosafirisha wanyama hai 130 wa aina 14 tofauti wakiwemo Twiga wanne kwenda nchi za falme za kiarabu, hawakuwa na hadhi ya kidiplomasia licha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Shahidi aeleza mshitakiwa alivyosaidiwa kutorosha twiga
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Moshi, Kilimanjaro imeelezwa namna mshitakiwa namba moja katika kesi ya utoroshaji wa wanyama hai 130 wakiwamo twiga wanne kwenda nchi za Falme za Kiarabu, Kamran Ahmed,...
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Ethiopia yawasaka wasafirishaji haramu
10 years ago
Habarileo09 Dec
Wasafirishaji kemikali wakumbushwa kujisajili
WAKALA wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) umeagiza wasafirishaji wa kemikali wote nchini ambao hawajasajiliwa kufanya usajili kabla ya Desemba 31, mwaka huu.
11 years ago
BBCSwahili19 Feb
Juhudi za kidiplomasia kuokoa Ukraine
11 years ago
BBCSwahili12 Mar
Rwanda na Afrika.K zatokota kidiplomasia
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Mzozo wa kidiplomasia watokota Indonesia
10 years ago
Mwananchi26 Feb
Wasafirishaji wa abiria Tunduma - Mbeya wagoma
10 years ago
StarTV05 May
Serikali yaunda kamati itakayoshughulikia wa wasafirishaji.
Na Lilian Mtono/ Edward Mbaga.
Dar es salaam.
Waziri mkuu Mizengo Pinda ameunda kamati ya kudumu itakayokuwa ikishughulikia matatizo yote yanayohusiana na usafirishaji, ikiwa ni sehemu ya kumaliza migogoro ya mara kwa mara ya usafiri, huku serikali ikionya magenge yanayojihusisha na kuzuia watu kutumia usafiri wa jumuiya.
Serikali inaunda kamati hii, wakati ambapo madereva wa mabasi wanagoma, ikiwa ni sehemu ya kushinikiza waajiri wao kuboresha maslahi, hali inayosababisha adha kubwa kwa...
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
DHL yajipanga kupambana na wasafirishaji ‘unga’
KAMPUNI ya kusafirisha vifurishi (DHL) imesema imejizatiti kupambana na wasafirishaji wa dawa za kulevya nchini. Meneja wa DHL Tanzania, Ahmed Abdi, alibainisha hayo jijini Dar es Salaam jana wakati wa...