Juhudi za kidiplomasia kuokoa Ukraine
Wanasiasa wakuu wa kigeni, watakutana mjini Kiev siku ya Alhamisi kujaribu kusuluhisha mgogoro unaotokota nchini Ukraine.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Juhudi za kuokoa mali Mtwara zakwama
Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendegu la kunusuru wananchi na mali zao kutokana na mafuriko yaliyotokea mkoani hapa, limeshindwa kutekelezeka kikamilifu kutokana na ukosefu wa vifaa vya uokoaji.
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Mzozo wa kidiplomasia watokota Indonesia
Serikali ya Indonesia itatekeleza adhabu ya kifo kwa washukiwa kadhaa wa ulanguzi wa dawa za kulevya nchini humo.
11 years ago
BBCSwahili12 Mar
Rwanda na Afrika.K zatokota kidiplomasia
Afrika Kusini imetoa onyo kali kwa Rwanda huku mzozo wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili ukiendelea kutokota kuhusu njama ya mauaji.
11 years ago
BBCSwahili28 Apr
Mzozo wa kidiplomasia kati ya Kenya na Somalia
Mzozo wa kidiplomasia unanukia kati ya Kenya na Somalia baada ya polisi kumkamata kimakosa mmoja wa maafisa wakuu wa ubalozi wa Somalia nchini Kenya
10 years ago
VijimamboTANZANIA NA ECUADOR ZAANZISHA UHUSIANO WA KIDIPLOMASIA
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
Shahidi: Wasafirishaji wa Twiga hawana hadhi ya kidiplomasia
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi, Moshi imeelezwa kuwa waliosafirisha wanyama hai 130 wa aina 14 tofauti wakiwemo Twiga wanne kwenda nchi za falme za kiarabu, hawakuwa na hadhi ya kidiplomasia licha...
9 years ago
MichuziTANZANIA NA VIETNAM WASHEREHEKEA MIAKA 50 YA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania