TANZANIA NA ECUADOR ZAANZISHA UHUSIANO WA KIDIPLOMASIA
" Wawakilishi wa Kudumu katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi wa Tanzania, na Xavier Mendoza wa Ecuador wakati wa kibadilisha hati za kuanzishwa kwa uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.
Balozi Tuvako Manongi na Balozi Xavier Mendoza, wakiteta jambo baada ya kusaini kwa niaba ya serikali zao, hati za kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia katika ngazi ya Mabalozi katika hafla fupi iliyofanyia siku ya Jumanne, wanaoshuhudia ni Maafisa Waandamizi, Bi.Tully...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-51n_MF1RCxs/VYEYkr8oQXI/AAAAAAAHgS8/hKhdWZoVl3s/s72-c/unnamed%2B%252828%2529.jpg)
TANZANIA NA ECUADOR ZA ANZISHA UHUSIANO WA KIDPLOMASIA
9 years ago
MichuziTANZANIA NA VIETNAM WASHEREHEKEA MIAKA 50 YA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-wVJkuSkWt_w/U2ScQBUM3OI/AAAAAAAFfA8/LX5r1KERH8g/s1600/unnamed+%289%29.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-edoAFvP6e0E/VElGSj22d2I/AAAAAAAGtCI/UJykBX6mTNw/s72-c/unnamed%2B(57).jpg)
SHEREHE ZA MIAKA 50 YA USHIRIKIANO WA KIDIPLOMASIA KATI YA TANZANIA NA CHINA HUKO BEIJING
![](http://4.bp.blogspot.com/-edoAFvP6e0E/VElGSj22d2I/AAAAAAAGtCI/UJykBX6mTNw/s1600/unnamed%2B(57).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-CwHJV8ecrug/VElGShs9qCI/AAAAAAAGtCM/xm8iyW_UIOU/s1600/unnamed%2B(58).jpg)
10 years ago
BBCSwahili31 May
FIFA:Benki 2 za Uingereza zaanzisha uchunguzi
11 years ago
BBCSwahili20 Dec
Uhusiano wa Mandela na Tanzania
10 years ago
Habarileo28 Jan
India kuimarisha uhusiano na Tanzania
BALOZI wa India nchini, Debnath Shaw amesema kuwa nchi yake itaendelea kuimarisha uhusiano uliopo na Tanzania katika kuhakikisha nchi zote zinafaidika na miradi mbalimbali ya maendeleo.
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Tanzania, Finland kuimarisha uhusiano
Na Mwandishi Maalumu, Finland
UHUSIANO baina ya Tanzania na Finland utaendelea kuimarishwa zaidi kuliko ilivyo sasa, imeelezwa.
Kauli hiyo imetolewa jana mjini Helsinki na Rais Sauli Niinisto wa Finland, katika mazungumzo yake na Rais Jakaya Kikwete yaliyofanyika Ikulu nchini hapa.
“Uhusiano wetu ni wa muda mrefu, ni uhusiano ambao umedumu kwa miaka 50, tumekuwa na uhusiano ambao umeleta maendeleo ya kiuchumi kwa Tanzania.” Rais Niinisto alisema na kuongeza: “Hii inatupa nafasi ya kutafuta...