TANZANIA NA ECUADOR ZA ANZISHA UHUSIANO WA KIDPLOMASIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-51n_MF1RCxs/VYEYkr8oQXI/AAAAAAAHgS8/hKhdWZoVl3s/s72-c/unnamed%2B%252828%2529.jpg)
Na Mwandishi Maalum, New York Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Ecuador zimekubaliana kuanzisha uhusiano wa kudiplomasia katika ngazi ya Mabalozi . Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, na Mwakilishi wa Kudumu wa Ecuador katika Umoja wa Mataifa Balozi Xavier Mendoza ndio waliotia sahihi hati za kuanzishwa kwa uhusiano huo kwa niaba ya serikali zao katika hafla fupi iliyofanyika siku ya Jumanne. Ecuador inakuwa ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTANZANIA NA ECUADOR ZAANZISHA UHUSIANO WA KIDIPLOMASIA
10 years ago
Dewji Blog27 Aug
$75,000 Anzisha Prize for Young Entrepreneurs Announces 2014 Finalists
The Anzisha Prize is a partnership between African Leadership Academy and The MasterCard Foundation
For the first time ever, African Leadership Academy and The MasterCard Foundation are delighted to have Anzisha Prize finalists from Togo and Ivory Coast (http://www.anzishaprize.org), revealing strong growth in entrepreneurship activity amongst youth in West Africa. Five young women are among the 12 finalists in the running for the $75,000 prize money that will be awarded on 23 September...
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
West Africans Shine at 2014 Anzisha Prize Gala Awards
-Cameroonian Alain Nteff named the grand prize winner of the Anzisha Prize, Africa’s premier youth entrepreneurship award
Alain Nteff (Cameroon), founder of Gifted Mom was announced as the grand prize winner of the 4th annual Anzisha Prize Award (http://www.anzishaprize.org), receiving a $25,000 cash prize to support his social business. He leads a rising tide of West African youth entrepreneurs.
Schoolbag manufacturer Thato Kgatlhanye (South Africa) was first runner up, with second runner...
11 years ago
BBCSwahili20 Dec
Uhusiano wa Mandela na Tanzania
10 years ago
Mtanzania04 Jun
Tanzania, Finland kuimarisha uhusiano
Na Mwandishi Maalumu, Finland
UHUSIANO baina ya Tanzania na Finland utaendelea kuimarishwa zaidi kuliko ilivyo sasa, imeelezwa.
Kauli hiyo imetolewa jana mjini Helsinki na Rais Sauli Niinisto wa Finland, katika mazungumzo yake na Rais Jakaya Kikwete yaliyofanyika Ikulu nchini hapa.
“Uhusiano wetu ni wa muda mrefu, ni uhusiano ambao umedumu kwa miaka 50, tumekuwa na uhusiano ambao umeleta maendeleo ya kiuchumi kwa Tanzania.” Rais Niinisto alisema na kuongeza: “Hii inatupa nafasi ya kutafuta...
10 years ago
Habarileo28 Jan
India kuimarisha uhusiano na Tanzania
BALOZI wa India nchini, Debnath Shaw amesema kuwa nchi yake itaendelea kuimarisha uhusiano uliopo na Tanzania katika kuhakikisha nchi zote zinafaidika na miradi mbalimbali ya maendeleo.
9 years ago
Michuzi12 Oct
UHUSIANO WA TANZANIA NA CHINA WAZIDI KUIMARIKA
Hayo yamesemwa leo Jumatatu (Oktoba 12, 2015)Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene wakati wa halfa ya uzinduzi wa chaneli mpya ya filamu ya China –Africa Movies itakayoonyeshwa kupitia kituo cha televisheni cha Easy Television kilichopo nchini.
Bw. Mwambene amesema kuwa...
11 years ago
Habarileo03 Apr
Balozi: Uhusiano wa Tanzania na Rwanda ni mzuri
SERIKALI ya Rwanda imesema uhusiano wake na Tanzania ni mzuri na kwamba hakuna chokochoko zinazofanywa na upande wowote. Balozi wa Rwanda, Ben Rugangazi alitoa msimamo huo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari.
10 years ago
Mwananchi21 Mar
Hali tete uhusiano Kenya, Tanzania