Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Juhudi za kuokoa mali Mtwara zakwama

Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendegu la kunusuru wananchi na mali zao kutokana na mafuriko yaliyotokea mkoani hapa, limeshindwa kutekelezeka kikamilifu kutokana na ukosefu wa vifaa vya uokoaji.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Juhudi za kuwaokoa waliokufa mgodini Nyangalata zakwama

Jitihada za kuwafukua wachimbaji saba waliokufa katika mgodi wa Nyangalata wilayani Kahama zimegonga mwamba baada ya Serikali kudai shughuli ya kuwatoa itachukua miezi miwili.

 

11 years ago

BBCSwahili

Juhudi za kidiplomasia kuokoa Ukraine

Wanasiasa wakuu wa kigeni, watakutana mjini Kiev siku ya Alhamisi kujaribu kusuluhisha mgogoro unaotokota nchini Ukraine.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtwara wahimizwa kuchangia damu kuokoa maisha

WAKAZI wa mikoa ya Kanda ya Kusini, wamehimizwa kuchangia damu mara kwa mara, ili kuokoa maisha ya wajawazito wakati wa kujifungua na watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Ushauri...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daladala zakwama kwenda Feri

USAFIRI wa daladala za kwenda Kivukoni uliotarajiwa kuanza mwishoni mwa Julai, umeshindikana kutokana na barabara kutokamilika. Siku chache zilizopita Mamlaka  ya Usafirishaji wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), ilitangaza  kurejesha...

 

10 years ago

BBCSwahili

Shughuli za uokozi zakwama upya Nepal

Watu 65 wameripotiwa kufariki kufuatia tetemeko lipya la ardhi lililotikisa Nepal hapo jana.

 

11 years ago

Michuzi

Mtwara Festival kufanyika Agosti 16-17, 2014 kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara.


Bw. Anic Kashasha, Mwenyekiti Mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali Tanzania Creative Industries Network (TACIN) ya Dar es Salaam, nilikuwa ninahutubia mkutano wa waandishi wahabari kwenye ukumbi wa Safari Lounge, mjini Mtwara, juu ya kuanzisha Mtwara Festival, utakaofanyika tarehe 16 - 17 Agosti, 2014 kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona,Mtwara.
Mtwara Festival imeandaliwa kwa kushirikiana na washirika wakuu na wadhamini wa TACIN, Shirika la maendeleo ya Petroli  Tanzania (TPDC). Huu ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Posho zakwamisha Kamati za Bunge zakwama posho

Ofisi ya Bunge imesema baadhi ya kamati zake zitalazimika kumalizia shughuli zake katika ofisi zao za Dar es Salaam, kwa kuwa haiwezi kuziwezesha zote kusafiri kwa ajili ya ukaguzi maeneo mbalimbali ya nchi.

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

“Azimio la Mtwara” Speech by Zitto Kabwe: Mtwara, 31-12-14

View this document on Scribd

PICHA

"Azimio la Mtwara" tarehe 31-12-2014 Zitto Kabwe na Prof. Ibrahim Lipumba

“Azimio la Mtwara” tarehe 31-12-2014 Zitto Kabwe na Prof. Ibrahim Lipumba

 


 

11 years ago

Michuzi

Wakazi wa Mtwara na Lindi kushuhudia fursa za Utalii na Uchumi kupitia Tamasha la Utamaduni la Mtwara,Waziri mkuu pinda kuwa mgeni rasmi.

 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda.
Tamasha la Mkoa wa Mtwara, ‘Mtwara Festival’, linatarajia kufungua milango ya fursa kwa wakazi wa mikoa ya Mtwara na Lindi katika kuziona fursa kadhaa kwenye sekta ya Utalii na Uchumi.Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa siku mbili kuanzia mwezi Agosti 16 na 17 mwaka huu kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona  ulipo Mtwara mjini. Mgeni rasmi katika Tamasha hilo anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda huku likiwa na kauli mbiu isemayo ‘Fursa Zimefunguka,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani