Juhudi za kuwaokoa waliokufa mgodini Nyangalata zakwama
Jitihada za kuwafukua wachimbaji saba waliokufa katika mgodi wa Nyangalata wilayani Kahama zimegonga mwamba baada ya Serikali kudai shughuli ya kuwatoa itachukua miezi miwili.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Nov
Mchimbaji aliyenusurika mgodini Nyangalata afariki
Mmoja wa wachimbaji wadogo watano waliookolewa baada ya kufunikwa na kifusi mgodini kwa siku 41 wilayani Kahama, amefariki dunia kwa kile ambacho madaktari wameeleza kuwa ni athari za chakula walichokuwa wakila.
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Juhudi za kuokoa mali Mtwara zakwama
Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendegu la kunusuru wananchi na mali zao kutokana na mafuriko yaliyotokea mkoani hapa, limeshindwa kutekelezeka kikamilifu kutokana na ukosefu wa vifaa vya uokoaji.
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Daladala zakwama kwenda Feri
USAFIRI wa daladala za kwenda Kivukoni uliotarajiwa kuanza mwishoni mwa Julai, umeshindikana kutokana na barabara kutokamilika. Siku chache zilizopita Mamlaka ya Usafirishaji wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), ilitangaza kurejesha...
10 years ago
BBCSwahili13 May
Shughuli za uokozi zakwama upya Nepal
Watu 65 wameripotiwa kufariki kufuatia tetemeko lipya la ardhi lililotikisa Nepal hapo jana.
9 years ago
Mwananchi22 Nov
Simulizi ya wachimbaji walivyookolewa Nyangalata
Mmoja wa watu waliokuwa kuwa wakifanya kazi ya kuwaokoa wachimbaji wa madini walionusurika kufa baada ya kuporomoka kifusi kwenye machimbo ya Nyangalata Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga na kuishi kwa siku 41, Mohamed Churi amesema ilikuwa kazi ngumu kuwatoa kutokana na mazingira yalivyokuwa hatarishi kwa maisha yao.
9 years ago
Mwananchi21 Nov
Wazee wa kimila wawatisha waliofukuliwa Nyangalata
Wazee wa kimila wa makabila ya Wakurya na Waluo wamesema watu watano waliookolewa kutoka kwenye machimbo ya Nyangalata, Kahama ambao waliwekewa matanga kabla ya kuibuka wanatakiwa kufanyiwa mambo ya kimila, vinginevyo watakufa kiajabu.
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Waliookolewa Nyangalata wakataliwa kwenda Bugando
Wakati wachimbaji dhahabu waliokuwa wamefukiwa kwenye machimbo ya Nyangalata, Msalala na kuokolewa baada ya siku 41 wakiomba kuhamishiwa Hospitali ya Rufani ya Bugando (BMC) Mwanza, Serikali imesema wataendelea kutibiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Kahama.
11 years ago
BBCSwahili14 Jul
Nigeria yashinikizwa kuwaokoa wasichana
Mwanaharakati, Malala Yousafzai kukutana na rais Goodlack Jonathan kushinikiza hatua zaidi ili kuwakoa wasichana waliotekwa na kundi la Boko Ha
11 years ago
BBCSwahili08 May
Wito wa kuwaokoa wasichana Nigeria
Mashambulio ya wapiganaji wa Boko Haram na wasiwasi wa kiusalama yameugubika mkutano wa uchumi duniani Nigeria.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania