Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazee wa kimila wawatisha waliofukuliwa Nyangalata

Wazee wa kimila wa makabila ya Wakurya na Waluo wamesema watu watano waliookolewa kutoka kwenye machimbo ya Nyangalata, Kahama ambao waliwekewa matanga kabla ya kuibuka wanatakiwa kufanyiwa mambo ya kimila, vinginevyo watakufa kiajabu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wazee wa kimila sasa wamwangukia Lowassa

>Wazee wa kimila wa jamii ya wafugaji wa Kimaasai (Malaigwanan) kutoka Wilaya ya Monduli wamemuomba waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kubaki na kuendelea kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa sababu ndicho kilichomlea na anakijua.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wawakilishi wa mabaraza ya wazee wa kimila wa Kimasai wakutana na Kinana

-Wazee wa Kimasai wamuhakikishia Kinana uaminifu wao kwa CCM-Wataka wafugaji wamilikishwe ardhi

-Waitaka serikali kuboresha maisha ya wafugaji

-Wataka wazawa wapewe kipaumbele zaidi

-Watoa salaam kwa Rais ,wampa pole na wamshukuru kwa kutimiza ahadi yake ya kuwapa mifugo.

 Diwani wa Viti Maalum Ngorongoro Tina Timan akizungumza wakati wa mkutano na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo alitaka mamlaka husika kubadili sheria kandamizi ili jamii ya Wamasai wafaidike na ardhi...

 

10 years ago

Vijimambo

WAWAKILISHI WA MABARAZA YA WAZEE WA KIMILA WAKIMASAI WAKUTANA NA KINANA

Wazee wa Kimasai wamuhakikishia Kinana uaminifu wao kwa CCM
Wataka wafugaji wamilikishwe ardhi
Waitaka serikali kuboresha maisha ya wafugaji
Wataka wazawa wapewe kipaumbele zaidi
Watoa salaam kwa Rais ,wampa pole na wamshukuru kwa kutimiza ahadi yake ya kuwapa mifugo.Diwani wa Viti Maalum Ngorongoro Tina Timan akizungumza wakati wa mkutano na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo alitaka mamlaka husika kubadili sheria kandamizi ili jamii ya Wamasai wafaidike na ardhi yao .Mwakilishi...

 

11 years ago

Michuzi

WAZEE WA KIMILA NA WAKIDINI WAASWA KUKAA NA VIJANA KUEPUKA MAOVU

a.KATIBU mkuu wa umoja wa vijana ccm (UVCCM) Taifa , Sixtus Mapunda wa pili kulia akiwa anatoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ziara yake katika mkoa wa Arusha b.
Waandishi wa habari wakiwa kazini
KATIBU mkuu wa umoja wa vijana ccm (UVCCM) Taifa , Sixtus Mapunda amewataka wazee wa kimila (malwaigwanan), viongozi wa dini pamoja na wazazi kutumia muda wa ziada  kukaa na vijana wao na kukemea kuacha mara moja kutumiwa katika vitendo viovu vinavyoendelea mkoani hapa.

Alisema kuwa ,...

 

5 years ago

Michuzi

OXFAM TANZANIA YAWANOA WATAALAM WA AFYA,WAZEE WA KIMILA VITA YA CORONA.


Msimamizi wa miradi Shirika la Oxfam Tanzania kanda ya kaskazini Donath Fungu akiendesha mafunzo ya kuwajengea uelewa washiriki kutoka wilaya ya Hanang',Babati,na maafisa sekta ya afya mkoa wa Manyara dhidi ya athari za virusi vya corona na namna ya kujikinga

Washiriki wakiwa kwenye mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uelewa dhidi ya athari za virusi vya Corona na namna ya kujikinga ikihusishwa na maswala ya kijinsia na kazi za nyumbani yaliyoandaliwa na shirika la Oxfam Tanzania
Afisa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ushoga wawatisha wajumbe wa Katiba

WAKATI Rais wa Uganda , Yoweri Museveni, akikataa nchi hiyo kuruhusu mapenzi ya jinsia moja, Bunge Maalumu la Katiba jana lilitawaliwa na mjadala huo. Aliyeliibua mjadala huo ni Asha Bakari...

 

11 years ago

GPL

Mashabiki wawatisha Yanga, wahofia kushuka kwenye gari

Wachezaji wa Yanga. Na Khadija Mngwai
WACHEZAJI wa Yanga, juzi waliogopa kushuka kwenye gari ili kuanza mazoezi kutokana na kuwahofia mashabiki wao.
Yanga, juzi jioni ilitua kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama kwa ajili ya mazoezi lakini walitumia zaidi ya dakika 10 kuwa ndani ya gari kwa kuhofia kupigwa na mashabiki. Habari zinasema kuwa Yanga walipata taarifa kuwa kama wakishuka mashabiki wa timu hiyo watawapiga kutokana na...

 

9 years ago

Mwananchi

Simulizi ya wachimbaji walivyookolewa Nyangalata

Mmoja wa watu waliokuwa kuwa wakifanya kazi ya kuwaokoa wachimbaji wa madini walionusurika kufa  baada ya kuporomoka kifusi kwenye machimbo ya Nyangalata Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga na kuishi kwa siku 41, Mohamed Churi amesema ilikuwa kazi ngumu kuwatoa kutokana na mazingira yalivyokuwa hatarishi kwa maisha yao.

 

9 years ago

Mwananchi

Waliookolewa Nyangalata wakataliwa kwenda Bugando

Wakati wachimbaji dhahabu waliokuwa wamefukiwa kwenye machimbo ya Nyangalata, Msalala na kuokolewa baada ya siku 41 wakiomba kuhamishiwa Hospitali ya Rufani ya Bugando (BMC) Mwanza, Serikali imesema wataendelea kutibiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Kahama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani