Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wawakilishi wa mabaraza ya wazee wa kimila wa Kimasai wakutana na Kinana

-Wazee wa Kimasai wamuhakikishia Kinana uaminifu wao kwa CCM-Wataka wafugaji wamilikishwe ardhi

-Waitaka serikali kuboresha maisha ya wafugaji

-Wataka wazawa wapewe kipaumbele zaidi

-Watoa salaam kwa Rais ,wampa pole na wamshukuru kwa kutimiza ahadi yake ya kuwapa mifugo.

 Diwani wa Viti Maalum Ngorongoro Tina Timan akizungumza wakati wa mkutano na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo alitaka mamlaka husika kubadili sheria kandamizi ili jamii ya Wamasai wafaidike na ardhi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAWAKILISHI WA MABARAZA YA WAZEE WA KIMILA WAKIMASAI WAKUTANA NA KINANA

Wazee wa Kimasai wamuhakikishia Kinana uaminifu wao kwa CCM
Wataka wafugaji wamilikishwe ardhi
Waitaka serikali kuboresha maisha ya wafugaji
Wataka wazawa wapewe kipaumbele zaidi
Watoa salaam kwa Rais ,wampa pole na wamshukuru kwa kutimiza ahadi yake ya kuwapa mifugo.Diwani wa Viti Maalum Ngorongoro Tina Timan akizungumza wakati wa mkutano na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo alitaka mamlaka husika kubadili sheria kandamizi ili jamii ya Wamasai wafaidike na ardhi yao .Mwakilishi...

 

9 years ago

Mwananchi

Wazee wa kimila wawatisha waliofukuliwa Nyangalata

Wazee wa kimila wa makabila ya Wakurya na Waluo wamesema watu watano waliookolewa kutoka kwenye machimbo ya Nyangalata, Kahama ambao waliwekewa matanga kabla ya kuibuka wanatakiwa kufanyiwa mambo ya kimila, vinginevyo watakufa kiajabu.

 

10 years ago

Mwananchi

Wazee wa kimila sasa wamwangukia Lowassa

>Wazee wa kimila wa jamii ya wafugaji wa Kimaasai (Malaigwanan) kutoka Wilaya ya Monduli wamemuomba waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa kubaki na kuendelea kuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa sababu ndicho kilichomlea na anakijua.

 

9 years ago

MillardAyo

Mbunge wa Monduli alivyokabidhiwa mikoba ya kazi na wazee wa Kimasai !! (+Picha)

Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano Tanzania tayari wameapishwa kwa asilimia kubwa, wachache waliobaki ni wa kutoka maeneo ambayo Uchaguzi Mkuu ulisogezwa mbele kwa sababu mbalimbali. Kama ulidhani kazi ya kuapishwa ilitosha kuumsogeza Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga (CHADEMA) kuendelea na Ubunge, basi jibu ni hapana… wazee wa jamii ya kimasai, wamemkabidhi fimbo kama ishara ya kumbariki […]

The post Mbunge wa Monduli alivyokabidhiwa mikoba ya kazi na wazee wa Kimasai !! (+Picha)...

 

11 years ago

Michuzi

WAZEE WA KIMILA NA WAKIDINI WAASWA KUKAA NA VIJANA KUEPUKA MAOVU

a.KATIBU mkuu wa umoja wa vijana ccm (UVCCM) Taifa , Sixtus Mapunda wa pili kulia akiwa anatoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ziara yake katika mkoa wa Arusha b.
Waandishi wa habari wakiwa kazini
KATIBU mkuu wa umoja wa vijana ccm (UVCCM) Taifa , Sixtus Mapunda amewataka wazee wa kimila (malwaigwanan), viongozi wa dini pamoja na wazazi kutumia muda wa ziada  kukaa na vijana wao na kukemea kuacha mara moja kutumiwa katika vitendo viovu vinavyoendelea mkoani hapa.

Alisema kuwa ,...

 

5 years ago

Michuzi

OXFAM TANZANIA YAWANOA WATAALAM WA AFYA,WAZEE WA KIMILA VITA YA CORONA.


Msimamizi wa miradi Shirika la Oxfam Tanzania kanda ya kaskazini Donath Fungu akiendesha mafunzo ya kuwajengea uelewa washiriki kutoka wilaya ya Hanang',Babati,na maafisa sekta ya afya mkoa wa Manyara dhidi ya athari za virusi vya corona na namna ya kujikinga

Washiriki wakiwa kwenye mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uelewa dhidi ya athari za virusi vya Corona na namna ya kujikinga ikihusishwa na maswala ya kijinsia na kazi za nyumbani yaliyoandaliwa na shirika la Oxfam Tanzania
Afisa...

 

9 years ago

StarTV

Wawakilishi wa haki za wanawake kanda tano za Afrika wakutana Arusha

Wawakilishi wa wanawake kutoka kanda tano za Afrika wamekutana jijini Arusha dhamira kuu ikiwa ni kupigania haki za wanawake hususani walio kwenye maeneo ya pembezoni kuweza kupata haki ya kumiliki ardhi na rasilimali nyingine za asili.

Wanawake hao kutoka katika kanda za Mashariki,Kaskazini,Kati,Kusini na Magharini mwa Afrika wamesema licha ya kwamba katiba na sheria za nchi nyingi za Afrika zinataja uwepo kwa haki sawa ya umiliki wa rasilimali kati ya wanaume na wanawake lakini kwa...

 

11 years ago

Mtanzania

Mbowe, Kinana wakutana kwa siri Dar

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe

AZIZA MASOUD NA AGATHA CHARLES

IMEDHIHIRIKA kuwa viongozi waandamizi wa vyama vikubwa vya siasa vilivyo na uwakilishi katika Bunge Maalumu la Katiba, wanapanga njama za kulivunja bunge hilo baada ya kushindwa kufikia maridhiano ya muundo wa serikali.

Kuvuja kwa taarifa hizi kumekuja ikiwa ni siku chache baada ya kufanyika vikao kadhaa vilivyowashirikisha viongozi wa vyama vikilenga kutafuta maridhiano ya muundo wa...

 

10 years ago

Vijimambo

VIONGOZI WA MILA WA JAMII YA WAMAASAI TOKOA MKOA WA ARUSHA NA MANYARA WAKUTANA NA KINANA


 Wazee wa Kimasai wamuhakikishia Kinana uaminifu wao kwa CCMWataka wafugaji wamilikishwe ardhiWaitaka serikali kuboresha maisha ya wafugajiWataka wazawa wapewe kipaumbele zaidiWatoa salaam kwa Rais ,wampa pole na wamshukuru kwa kutimiza ahadi yake ya kuwapa mifugo. Diwani wa Viti Maalum Ngorongoro Tina Timan akizungumza wakati wa mkutano na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo alitaka mamlaka husika kubadili sheria kandamizi ili jamii ya Wamasai wafaidike na ardhi yao .Mkutano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani